Ccm waigeni anc

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
ukweli ni kwamba hakuna uwezekano wa ccm kushinda 2015. inavyoonyesha chadema itaendelea kupata nguvu maana ina uongozi imara. kutokana na uchochezi wa kidini cuf watavuna sana ccm 2015. njia pekee ya ccm kujinasua ni kufanya mapinduzi ndani ya chama kama walivyofanya ANC. lakini je wataweza? ningekuwa mshauri wa ccm nisingekuwa na ushauri mwingine. hata ukipambana na chadema watu wengine maarufu wataibuka maana watu wamechoka. serikali dhaifu huzaa upinzani imara. mwinyi alimtengeneza mrema na jk akamteng
 
Hapa tunaiga vitu kama ni jinsi gani ya ku-rig elections! Sio zaidi ya mbinu hizo. Kuiga uadilifu tutakataliwa na wapiga kura
 
Back
Top Bottom