CCM wagawa nakala za gazeti la sauti huru bure kwenye kampeni zake

albert kawogo ninamfahamu zaidi kwa undani tokea anafundisha kule mbegani, akajiunga na chuo cha sanaa bagamoyo akafukuzwa chuo(hakumaliza) ni mtu mpenda makuu,cha pombe, muongo, na mnafki pia mpenda kujikweza kwa watu wenye nazo kwa ujumla ni mtu ambaye yuko tayari kuuza utu wake kwa rupia. waulizeni wanachuo waliopitia chuo cha sanaa bagamoyo 1997 hadi 1998 wanamfahamu huyu mtu ni mwehu fulani hivi ambae kwake pombe ilikua issue na kuoga ni majaliwa.

Nilifanikiwa kuonana na huyo mtu nikafanya mazunguzo machache pamoja naye hatahivyo ninakusanya data fulanifulani kuhusiana na Subash zikikamilika nitaziweka hapa.
 
mtapiga kelele nyingi sana ila mkae mkijua CCM kitashinda ARUMERU na nitakuja kuwakumbusha apa apa kupitia jamvi hili.ni kweli watu wamechoka na CCM ila pia ni ukweli kwamba CHADEMA kinapoteza muelekeo na kinaelekea kufa kosa kubwa wanalolifanya CDM AU M4C NI KUTO KI INSTITUTIONALIZE CHAMA hawakipeleki kwa WANANCHI utakuta sura zilezile SUZAN LYMO,MBOWE,MTEI.SLAA hakuna watu wa morogoro kwenye uongozi hakijakaa kitaifa kimekaaa ki NGO

mkuu mbona haujaja kuota ushuhuda tena? umepotelea wapi?
 
Back
Top Bottom