CCM wagawa nakala za gazeti la sauti huru bure kwenye kampeni zake

Sauti huru ni kama toilet paper mmliki wake ni fisadi na mfadhili wa ccm Subash Patel jk naye anakamkono hapo.

Salva Rweimamu kwa maelekezo ya JK amekuwa akilisuport, kunakainzi kangu kalinitonya wiki yote walikuwa na vikao vya mikakati ya arumeru na fungu likatolewa la kufanikisha fitna.

Huyu muhindi patel amewaweka waandishi Albert Kawogo na mwenzake wananjaa hao na kwakufanya fitina ni noma.


wamewawaka jamaa wawili kama wamiliki wananjaaa hao Alabert Kawogo na mwenzake

Huyu Patel ndiyo yule aliyekuwa akipambana na Mengi akamwejiri aliyekuwa mwandishi wa Deutsh Welle Christopher Buke kutayarisha makala za kumchafua Mengi halafu akamtupa kwenye dust bin kama toilet paper?
 
Mangi wa ukweli huwa haandiki pumba una wa abisha kina mangi toka lini mangi akawa moro? sema wewe mlumbwa, je slaa mchaga? je huko ccm hussein mwinyi, abdala ali mwinyi wote sio ndugu ama kweli nyani haoni k yake pole weeeeeeee
 
Suzan Kiwanga anatoka Morogoro
Regia Mtema (R.I.P) naye alitokea Morogoro.

Mtetemela anatokea Rufiji
Zitto anatokea Kigoma
Prof Baregu Bukona
Alhaji Prof Safari - sina haja ya kutaja
Lissu- Singida
sasa huyu mwehu anayesema chadema hakijawa institutionalized alitaka kiweje?
 
Mtetemela anatokea Rufiji
Zitto anatokea Kigoma
Prof Baregu Bukona
Alhaji Prof Safari - sina haja ya kutaja
Lissu- Singida
sasa huyu mwehu anayesema chadema hakijawa institutionalized alitaka kiweje?

Nafikiri matumizi ya neno institutionalized imetumika ndivyo sivyo
 
Janja yao inaelekea ukingoni, hata senegal walikuwa wanalazimisha kama hivi lakini mwisho ulifika
 
Mtetemela anatokea Rufiji
Zitto anatokea Kigoma
Prof Baregu Bukona
Alhaji Prof Safari - sina haja ya kutaja
Lissu- Singida
sasa huyu mwehu anayesema chadema hakijawa institutionalized alitaka kiweje?

Uko sawa mkuu, lakini nadhani Mtetemela anatokea Urambo kwa Six. Any way inawezekana uko sahihi, maana kuna Mtemelwa na Mtetemela majina yanachanganya sana.
CDM ipo mpaka Zanzibar, sasa kama mtu anasema haipo kwenye sura ya kitaifa atakuwa na lake jambo
 
Mimi nasubiri Arumeru Mashariki wasema kama walivyosema Igunga kwamba CDM ni chama cha wakiristu na watu wa Kasikazini. Mbona hii propaganda haisemi Arumeru?!.

Mwigulu usisahau hii propaganda maana kampeini zimeingia wiki ya mwisho!
 
Sauti huru ni kama toilet paper mmliki wake ni fisadi na mfadhili wa ccm Subash Patel jk naye anakamkono hapo.

Salva Rweimamu kwa maelekezo ya JK amekuwa akilisuport, kunakainzi kangu kalinitonya wiki yote walikuwa na vikao vya mikakati ya arumeru na fungu likatolewa la kufanikisha fitna.

Huyu muhindi patel amewaweka waandishi Albert Kawogo na mwenzake wananjaa hao na kwakufanya fitina ni noma.


wamewawaka jamaa wawili kama wamiliki wananjaaa hao Alabert Kawogo na mwenzake

albert kawogo ninamfahamu zaidi kwa undani tokea anafundisha kule mbegani, akajiunga na chuo cha sanaa bagamoyo akafukuzwa chuo(hakumaliza) ni mtu mpenda makuu,cha pombe, muongo, na mnafki pia mpenda kujikweza kwa watu wenye nazo kwa ujumla ni mtu ambaye yuko tayari kuuza utu wake kwa rupia. waulizeni wanachuo waliopitia chuo cha sanaa bagamoyo 1997 hadi 1998 wanamfahamu huyu mtu ni mwehu fulani hivi ambae kwake pombe ilikua issue na kuoga ni majaliwa.
 
Mkuu nimekusoma gazeti linachapishwa na free voice investment co.kariakoo mtaa wa akamba.
1.Albert kawogo-mkurugenzi mtendaji

jamaani huyu Albert Kawogo ni misheni town tu ebu muulizeni alimaliza chuo pale bagamoyo? kama hapana muulizeni na sababu, alikua na tabia ya kujikomba sana kwa mkuu wa chuo Mr Nyambasi ili awe anapewa upendeleo wa ki darasa (taaluma) pia alijifanya ni mmoja wa wanafamilia ya Nyambasi kwa maana hii huyu jamaa ni kama funza anaeingia kwenye vidole vya miguuni hata hao anaowasaidia any time atawageuka anajua jinsi mama yake alivyokuja kulia lia pale chuoni mwanawe asamehewe amalize chuo lakini matokeo yake alishinwa kumaliza elimu yake kwa matendo yake ya uroho wa pesa na pombe. asiwadanganye watanzania na maandiko yake na huo ukurugenzi wa kupewa na huyo mhindi.
 
Hivi ndivyo vichwa vya habari kwenye hilo gazeti:
1. Chadema wakata tamaa front page
2.CDM waburuzwa mahakamani mbeya
3.Mahitaji ya arumeru mashariki si undugu wa nyerere-dongo kwa vicent
4.chadema iache kufanya uhuni arumeru
hayo ni kwa ufupi tu
sasa kama wanaburuzana mahakamani kwa ufisaidi wao unataka ccm wasikitike?dhahiri hizo ni habari njema kwa wana sisi m na kwasambazia wana chama wao kuna ubaya gani
 
hao ni changa la macho na wanapata shida sana kwenye kuufanya maamuzi mwangalie zitto anavyopata shida, ndiyo maana wengi waliotoka mikoa ya nje ya kilimanjaro hawakuhudhuria fund rising.
 
Wanabodi katika hali ya kuendeleza siasa za maji taka kama siyo kutapata kwa ccm katika kampeni za jimbo la arumeru mashariki ccm wagawa nakala za gazeti la SAUTI HURU ambalo linatoka kwa wiki mara moja na linauzwa sh.500 wao ccm wakitoa bure kwa wote waliohudhuria mikutano gazeti lenyewe likiwa limebebwa na story zinazoichafua CDM ikiwa kama ni mbinu ambayo wao ccm wanaona itawasaidia baada ya matusi kushindwa majukwani.hili gazeti nafikiri nikati ya yaleyaliotabiriwa kuanzishwa kwa ajili ya 2015.
Mwigulu una maelezo juu ya hili?wanabodi wanafurahi kupata ufafanuzi tunajua lipo ndani ya uwezo wake.

hakuna tatizo hapo kwanini na chadema wasigawe bure gazeti la tanzania daima ambalo linaichafua ccm
 
mtapiga kelele nyingi sana ila mkae mkijua CCM kitashinda ARUMERU na nitakuja kuwakumbusha apa apa kupitia jamvi hili.ni kweli watu wamechoka na CCM ila pia ni ukweli kwamba CHADEMA kinapoteza muelekeo na kinaelekea kufa kosa kubwa wanalolifanya CDM AU M4C NI KUTO KI INSTITUTIONALIZE CHAMA hawakipeleki kwa WANANCHI utakuta sura zilezile SUZAN LYMO,MBOWE,MTEI.SLAA hakuna watu wa morogoro kwenye uongozi hakijakaa kitaifa kimekaaa ki NGO

Zitto Zuberi Kabwe, Nyerere, Mnyika, Tundu Lissu, Prof. Safari, Prof. Baregu, n.k nao ni walewale? Tuwe objectives kama hatuna wazimu. CCM inaweza kushinda lakini tusidhani na kutumia siasa chafu kama kuandika magazeti kwa kutumia pesa za ufisadi ili tubaki na sura zilezile za mafisadi. Kwani CCM nini kilichobadilika tofauti na ku-institutionalize familia za mafisadi???? Siku ile inakuja!!!! Arumeru mshindwe kwa haki, kama ni magazeti wawaletee magazeti ya Mwanahalisi, Mwananchi tuone kama wataweza kununua kwa bei ya gazeti makini!!!
 
Mimi nasubiri Arumeru Mashariki wasema kama walivyosema Igunga kwamba CDM ni chama cha wakiristu na watu wa Kasikazini. Mbona hii propaganda haisemi Arumeru?!.

Mwigulu usisahau hii propaganda maana kampeini zimeingia wiki ya mwisho!

Ni kweli CCM wanasema CDM ni chama cha kaskazini, basi Arumeru onesheni ukaskazini wenu na Lowasa mheshimiwa sana hujumu mkweo tukuamini kama kweli u wa kaskazini na mkristo kwa sera za kipenzi wako JK na maswahiba wake.
 
Back
Top Bottom