CCM wagawa Kanga na fedha kijijini Maweni, hata hivyo Kinamama waapa kutowapa Kura

Saharavoice

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,879
2,369
Tukiwa njiani na Crashwise kuelekea katika mkutano wa kampeni wa CDM katika kijiji cha Shambalai (Mbuguni), Gari yetu ilipata mushkeri ktk kijiji cha Maweni. wakati tunasuburi msaada tukapata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya wenyeji wa kijiji cha Maweni.

Tumekutana na vijana wenye mwamko mkubwa wa mabadiliko, lakini pia kina mama wamekiri kupewa kanga na fedha na CCM, lakini wameapa kutowapa kura CCM.

Viongozi wa CDM mtakapoenda kufanya mkutano Maweni, vijana wanahitaji bendera za CDM,, pelekeni bendera kwa wingi pale.
 
Asanteni kwa taarifa ma comrades, nadhani wahusika wamepata habari.
 
Uhuni watakaofanyiwa ccm huko Meru kamwe hawatakuja kusahau, hii itawafanya wajiulize sana kabla ya kuhonga chaguzi zijazo. Wananchi wamejanjaruka kwa sasa na huu ndio wakati muafaka kuwaonyesha
 
tunakula ccm tunalala CDM hiyo formula mkuu mbona wanaarumeru wengi wanaifahamu wala usipate tabu wamekariri kama sala ya Baba yetu..
 
Tukiwa njiani na Crashwise kuelekea katika mkutano wa kampeni wa CDM katika kijiji cha Shambalai (Mbuguni), Gari yetu ilipata mushkeri ktk kijiji cha Maweni. wakati tunasuburi msaada tukapata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya wenyeji wa kijiji cha Maweni.

Tumekutana na vijana wenye mwamko mkubwa wa mabadiliko, lakini pia kina mama wamekiri kupewa kanga na fedha na CCM, lakini wameapa kutowapa kura CCM.

Viongozi wa CDM mtakapoenda kufanya mkutano Maweni, vijana wanahitaji bendera za CDM,, pelekeni bendera kwa wingi pale.

Yao kamba mkuu mnyororo utawachubua
 
Kweli makamanda wetu, wakuu wa kuhamasisha wapeleke bendera, skafu na kadi za chama ndo kumekucha hivyo!!! Pole sana mizunguko ya shughuli Mungu awatie nguvu!!! Kuna maeneo mengi wanahitaji vifaa vya kuhamasisha na kutoa changamoto kwenye chama hakuna kulaza damu wakati ndio huu!!!!
 
Pokeeni izo give aways ila mwisho wa siku lazima muwapige chini CCM bse for 50 years hakuna significant changes kwenye mambo mengi!
 
Back
Top Bottom