Ccm wafunika manzese alasiri hii!

Tuna ushahidi wa kutosha nchi za nje zinafadhili wapinzania ili vyama vilivyokaa madarakani kwa muda mrefu katika nchi zetu zianguke katika uchaguzi; Namnukuu Msekwa anatoa live Manzese

Na Chama cha Mafisadi kinafadhiliwa na akina nani? Mafisadi wa EPA, Meremeta, Kagoda, Rada, TRL, ATC, Kiwira, Dowans/Richmond ya akina Rostam na Al Adawi au mlikuwa hamjui!!!!?
 
Hivi hapa nani wakujifariji? ninyi mlioshindwa uchaguzi au sisi tulioshinda? au kwakuwa tunasemea kwenu?


Nafikiri ulitaka kujionyesha u-jin-ga wako tu, hapa hatuongelea mapenzi kwa mtu bali uwezo na wigo mpana alio nao mtu kifikra. Na wala sio habari za mara mke wa mtu mara vile, kwani umeshasikia tunaongelea habari za umalaya wa kikwete hapa hadi anaweka wengine lupango kisa umalaya hadi uteuzi wa viongozi unafuata ushemeji na ushoga. Kwetu hayo si hoja ya msingi kaa nayo wewe kwenye bongo yako kama yana maana kwako. kalagabao
 
Back
Top Bottom