CCM wachakachuana kiwango cha fedha ya uchukuaji fomu.

Dec 21, 2011
71
75
Waliochukua fomu kuwania nafasi mbalimbali ndani ya chama cha mapinduzi wametoa malalamiko kuwa wametozwa kiasi kikubwa cha fedha ya kuchukulia fomu tofauti na kiwango kilichopangwa na chama,wengine watozwa 20000,wengine hadi laki moja,Nape asema kiwango ni shilingi 10000.

Sorce Star tv
 
Bado kuuana tu,kama alivyofanya yule meya mwz wakati ule,ktk mchakato wa kura za maoni za ubunge.
 
Waliochukua fomu kuwania nafasi mbalimbali ndani ya chama cha mapinduzi wametoa malalamiko kuwa wametozwa kiasi kikubwa cha fedha ya kuchukulia fomu tofauti na kiwango kilichopangwa na chama,wengine watozwa 20000,wengine hadi laki moja,Nape asema kiwango ni shilingi 10000.

Sorce Star tv

Hapa tutachangia nini kama siyo umbea? Tuko busy na sensa, umbea mwingine mngekuwa mnamalizia kwenye mikeka huko majumbani akina mama jamani
 
Waliochukua fomu kuwania nafasi mbalimbali ndani ya chama cha mapinduzi wametoa malalamiko kuwa wametozwa kiasi kikubwa cha fedha ya kuchukulia fomu tofauti na kiwango kilichopangwa na chama,wengine watozwa 20000,wengine hadi laki moja,Nape asema kiwango ni shilingi 10000.

Sorce Star tv

Hawa jamaa mnajitahidi kuapiga majungu lakini wako imara, bora mpige kimya tu, CCM naona kama wako systematic kinoma,
 
CCM wanachakachua kila kitu kuanzia nchi chama hata wao wenyewe wamechakachuliwa na tabia yao ya kuchakachua. Ila mwisho wao naona uko mlangoni mwao ukiwangoja uwatose kwenye sahau ya kihistoria.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom