Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,531
- 8,615
Mhhh Mkuu,
Leo nimechungulia magazeti karibia yote ila sijaona hiyo cover. Labda wauzaji wameitupa kwa sababu wanajua kiu ya wasomaji. Kama imetupwa basi CCM wajue kuwa imekula kwao.
Waendelee na EPA zao ila wananchi wanajua chaguo lao!!
...wakuu nimesoma magazeti yote ya leo ...infact nimenunua mwenyewe...lakini sijaona hiyo kitu....well inaonekana mpango wa salva rweyemamu na muhingo rweyemamu...ulikuwa ni kujaribu kufunika lead page ya magazeti yote ya leo ambayo definatelly ni CHADEMA.....Lakini kiukweli ni kuwa that is very miscalculated marketing break through........kwani that 8 million was paid to the media houses owners ....walisahau kuwa wauza magazeti wa barabarani hawafaidiki ...hapo na wao kula yao ipo kwenye kuuza magazeti mengi...kwa vyovyote ....psychologically wananchi walikuwa wamejiandaa kuona magazeti yataandika nini kuhusu kufana kwa mkutano wa chadema na kuhusu TBC.......so mabadiliko yoyote ya headings au headings kufunikwa yangesababisha magazeti yasiuze kabisa.......so ni uamuzi ambao kisomi unatabirika kuwa lazima ...wauza magazeti wangeyafunua hayo matangazo ya ccm ili waweze kuuza magazeti haraaka haraka....na labda wauzaji wajanja hasa wa pembezoni baada ya kumaliza kuuza watauza matangazo ya CCM waliyoyatoa kwa shilingi 100 hasa kwa wananchi ambao wangekuwa na shauku ya kusoma kuhusu CCM......
Tatizo la marketing campagne yeyote yenye pesa nyingi.....ni kupunguza reasoning ability .....kwani hakuna budget constraits ya kuchochea fikra zaidi....angalieni hata makampuni ya simu ...huwa yana marketing technics nzuri ...lakini mara nyingine wanakuja na big time time and money waste..ideas ambazo hazina impact kabisa......
.....sasa hivi mjini mabango yote yana picha za kikwete .....sasa sijui kwa nini wanafuja pesa namna hii wakati ni wazi kuwa uwezo wa kushinda bila kutumia pesa nyingi kwa kuuza sera tu....upo......CCM are usin a lot of money ...hadi inatisha sijui ni kwa nini...ningeelewa kama kikwete angekuwa anagombea kwa mara ya kwanza....lakini he is running for the second time ..hayo mamilioni yao bora wangeyaweka wayatumie 2015 kwani ni wazi wakati huo watakuwa wanakabiliwa na upinzani mkali kuliko sasa....na ni wazi ..ccm nayo itakuwa hoi kwenye umoja wake kama chama.....