sammosses
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,682
- 1,110
Ni hatari iliyoje!
Kama unataka kwenda Zanzibar na upo DSM kwanini upitie Pangani tanga ilihali DSM ndo njia ya moja kwa moja. Tuacheni unafiki, kuwatoa kafara wanyonge na kuwaacha walengwa wakubwa ni tatizo.Kuwapa watuhumiwa kujivua gamba nalo ni kosa.kupishana maneno miongoni mwa huku maamuzi yalikwisha tolewa ni kosa. Na kitendo cha mwenyekiti kushindwa usimamia maamuzi ya kikao nalo ni kosa kubwa.
Kama kweli Ng'enda ametenda kosa hilo wangeanza na m/kiti kwa kushundwa kusimamia maamuzi na maazimio ya kikao. Kulindana huku ndo kunachangia uwizi na kupungua uadilifu wa viongozi ndani ya sirikali. Kama kweli walikuwa na maazimio ya kuvuana gamba kusingekuwa na usiri na mizengwe maamuzi magumu yangeheshimiwa na hatua kuchukuliwa.