CCM waanza? Magamba yaanzia kwa dagaa

Idd Azan huyo,unajua jk anamkubali sana na alipeleka malalamiko yake buku zima lote madhambi ya kilumbe.

hahaaaaaa idd azan kumbe naye ana fitna ehhhh...haya kilumbe rudi ukauze duka lako mchikichini a makamba aliyekuwa anakutetea hayupo
 
hako ka Kilumbe ni kadagaa kaliko komaa kalikuwa na madhara kwa jamii lakini si kama ambavyo MAPAPA ya ufisadi yanavyozungukwa zungukwa wanayaaogopa.Ila haka ka Kilumbe niliwahi kusema pia humu jukwaani nakajua kana matatizo ya kifikra pia,ni ka pandikizi ka mzee Makamba.Makamba miaka ile alipokuwa mkuu wa mkoa Kigoma kalikuwa nae huko ndo alikavuta kuja DAR,kaliwahi kuwa Shinyanga baadae TBR.Nasubiri kusikia Magamba original sio copy
 
Uundwaji wa katiba mpya hajatajwa kwenye ilani ya CCM, ni lini vikao halali vya ccm vilifanyika na kuazamia kuandika katiba mpya? Nani awajibishwe kwenye hili maana limefanyika nje ya utaratibu wa kawaida wa ccm kama ilivyo kwa huyu katibu wa Dar?
 
[h=1]Kilumbe Ng'enda[/h]
Has worked at CCM Studied Doctorate in Philosophy at Omega Global University Lives in Dar es Salaam, TanzaniaKnows English, SwahiliFrom Kigoma



Kilumbe Ng'enda studied Doctorate at Omega Global University!!!!. Mwenye data na chuo hiki atueleze kiko wapi.. au ndio walewale wa vyuo feki. Hivi ndio bwana Ng'enda anavyojitanda kwenye ukurasa wake wa Facebook.
 
Hatimae vikao vinavyo endelea dodoma vimeweza kumvua gamba katibu mkuu wa ccm wa mkoa wa Dar es salaam ndugu Kilumbe Ng'enda. nape kasema amevuliwa gamba kutokana na kwenda kinyume na kanuni na utaratibu walio jiwekea wana ccm. Over
 
Kilumbe amevumiliwa sana kwani ana mizigo ya uchafu mgongoni kwake mizito tokea akiwa Singida, Kigoma ,Iringa nampaka alipofia DSM!! God father wake Yusuf Makamba ndio alikuwa anamlinda kwani walikuwa wanafanya madudu yao pamoja; Makamba alivyoondolewa it was just a question of time nae Kilumbe amfuate Mzee kwenye makao yao aliyotangulia kwenda kuyatengeneza!!
 
Kweli wana utani hawa wanavua vidaga vidogo vidogo mapapa wanawaacha au nyavu zao zimechaka haziwezi vua mapapa!!!!
 
Mwanzo au mwisho wa hoja ya magamba? Kama Lowasa ameweza kupangua hii maji yakiwa shingoni, kuna uwezekano akapata Urais 2015? Kuna mtu anajua procedures za kuomba uraia wa Botswana?
 
What we need in Tanzania is parties with firm political structure ,clearly defined views and stand not group of political LovePeddlers(which is what we presently have on ground).

Sijui ni kwa nini CCM wanashindwa kutoa maamuzi sahihi bila kupendelea upande wowote at the same time wanaadhimisha miaka zaidi ya 34 tangu chama hicho kizaliwe.

Presently, Chadema seems to be the only prepared and ready to rule as political party with a determined and tested patriot who can lead the people in the nation building of a New Tanzania in the leadership of Africa among other nations in the 21st century.

Usisahau ktk maisha ya kawaida Mchumba/Hawara hujipendekeza sana kwa kukujali lakini baada ya kuingia ndani/ndoa ndipo utamjua anakujali au la?, CCM NI CHAMA (34 YERS) CDM NDO KWANZA KIMEANZA KWA HIYO SIONI KAMA UKIKILINGANISHA NA CCM UTAKUWA UPO FAIR, KWANI KIMSINGI CDM KWA UCHANGA WAO WAWEZA FANYA VYOVYOTE HASA UKIZINGATIA HATA ILE TU CHAIN OF COMMAND HAIJAWA COMPLICATED SANA. (YETU MACHO TUSHOBOKEE LAKINI!!!!)
 
Kilumbe Ng'enda amevuliwa Ukatibu wa Mkoa wa Dar es Salaam (CCM) kwa kosa la kutenda maamuzi binafsi kinyume na maamuzi ya vikao halali vya chama.

Taarifa tulizo nazo zinazidi kueleza kuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Dar naye yupo kwenye hatihati. Nyeti nyingine zinadai kuwa kutokana na EL kujaza watu wake Dodoma ili wafanye fujo basi huenda yeye na Chenge wakaachwa na maamuzi yakatolewa ghafla baada ya mkutano huko Dodoma.

Nape kasema nafasi hiyo imeondolewa mikononi mwa Ng'enda na atapangiwa nafasi nyingine (wanaendelea kubebana???)

Hii imakaa vizuri kwani EL na Chenga wako tayari kwa lolote using innocent people who cannot analysis issues but because of their ignorance they bow down to EL a dirty man with his colleague!
 
Uundwaji wa katiba mpya hajatajwa kwenye ilani ya CCM, ni lini vikao halali vya ccm vilifanyika na kuazamia kuandika katiba mpya? Nani awajibishwe kwenye hili maana limefanyika nje ya utaratibu wa kawaida wa ccm kama ilivyo kwa huyu katibu wa Dar?

1.mkubwa hakosei 2.akikosea soma namba 1...hili nape halijui siajabu akaanza kuzunguka nchi nzima akitaka kumvua gamba boss wake..lol
 
Kuna katibu mkuu wa chama fulani alimfukuza katibu wa wilaya au mkoa, sikumbuki. Alimfukuza kupitia mkutano wa hadhara. Dah! hii domokrasia yetu bwana.
 
Back
Top Bottom