CCM waambiwa: Hivi mnafikiri Watanzania ni wapuuzi??

chachana

Member
Aug 4, 2011
57
92
Viongozi wa Chadema wamekata rufaa NEC kupinga suala la uraia wenye utata wa mgombea wa ccm sioi sumari.
Hakuna ubishi maamuzi yaliyofanyika ni ya kibabe tu wa chama tawala katika kuhalalisha utata wa uraia wa sioi.
Watanzania wanauliza hivi ccm mnafikiri watanzania hawaoni ubabe mnaoutumia?? Hivi mnataka kumdanganya nani kuwa hata nyinyi CCM mlijua na mnajua kuwa uraia wa sioi una utata?? Hivi kuhalalisha utata huo hamuoni CCM mmedhihirisha kufanya kazi kwa double standand, hamuoni mnaipeleka nchi pabaya?? (Hata hivyo mmekuwa sikio la kufa hamsikii dawa.
hatari kubwa ni pale ambapo gharama ya ubabe huu itakapolipwa hapo baadae, itakuwa ni balaa.
 
Mpaka sasa nimeamini ni kweli baadhi ya mawaziri wa serikali ya kikwete siyo raia wa tanzania
 
Mfunguzi wa kampeni aliwahi kutajwa na Mtikila kuwa yeye ni raia wa Msumbiji ndio maana alikazania sasa kujengwa daraja la kuunganisha msumbiji na tanzania ili aweze kurudi kwao kwa urahisi., swala la uraia likifuatiliwa seriously akina kinana, idi simba, bashe, mkapa rostam nk watakuwa kwenye wakati mgumu sana!1
 
Kama si raia baba yake aliwezaje kuwa mbunge wa Jimbo hilo? na kwa nini hakuhojiwa wakati huo, ahojiwe leo mwanae?
 
tukianza kuulizia nani si raia hata uncle ben,mimi mwenyewe na wengineo wengi sio raia
labda wagogo.
 
Mbona Mustafa Mkulo ni raia wa Malawi lakina anaongoza ghala la fedha za nchi nzima. Wanyarwanda kibao wata take advantage ya ubakaji huu wa sheria na kuja kugombea 2015
 
Back
Top Bottom