Elections 2010 CCM VS CHADEMA Rombo Tarakea - Fujo zinaendelea na Polisi wameshindwa

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Kwa sasa hivi fujo zinaendelea Tarakea Rombo, Polisi wameogopa kwenda eneo la Tukio.

Kisa ni Kada wa CCM amgonga kwa gari mwendesha pikipiki wa Chadema
 
aa wewe ni fujo, hapafai kukaa, ngoja pakiwa shwari nitawapa full stori
 
Nimongea na jamaa yangu yuko huko kwa mramba ananambia tangu rais mtarajiwa slaa aende mara mbili Mramba na chichiemu hawana lao!
 
Back
Top Bottom