CCM, Viongozi wake, gazeti la uhuru na mengine kama Jambo Leo na Habari leo wanaipromoti CHADEMA bil

ESAM

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,164
548
Siku hizi imekuwa kawaida karibu kila siku kwa viongozi wa CCM kukisema vibaya Chadema na hata vyombo mbalimbali vya habari vyenye mrengo wa CCM na serikali vimekuwa mara nyingi vikiandika habari mbaya kuhusu Chadema nyingi zikiwa zimetiwa chumvi na nyingine hata kupotoshwa. Naamini wanadhani wanakikomoa Chadema bila kujua kwamba ndiyo wanakipa umaarufu.

Unahitaji falsafa ya watoto kujua jambo hili, yaani ukitaka watoto wasiguse kitu fulani basi usiwakataze kwamba mtu asiguse hapa; lakini ukiwaambia msiguse au msifanye jambo fulani hapo ndiyo unawajengea udadisi wa kutaka kujua je kuna nini hapo kwa nini tukatezwe. Na kwa vyovyote vile lazima watagusa au kufanya. Kwa hiyo CCM kuikandia Chadema kila siku kinawajengea Watanzania udadisi wa kukifuatilia Chadema na kugundua kumbe sio kama wanavyoelezwa huenda ndiyo maana hata Igunga waliamua kupigia kura Chadema kwa sababu kilishambuliwa sana na CCM.
 
Na ukweli ni kwamba mauzo ya magazeti ya uhuru yameshuka sana! Na hata habari leo. Sababu watu wamechoka na propaganda ambazo hazina mbele wala nyuma.
Waandishi pamoja na wahariri wa uhuru utafikiri hawakusomea uhandishi. Ipo siku naamini inakuja hawa wote watahukumiwa na historia! Maana ukweli siku zote ujitenga na uwongo.
 
Let the sleeping dogs lie!
 
Una uhakika yameshuka au unabuni ? katizame statement of comprehensive income zao utashangaa ! wako vizuri kibiashara hawa jamaa
 
Siku hizi imekuwa kawaida karibu kila siku kwa viongozi wa CCM kukisema vibaya Chadema na hata vyombo mbalimbali vya habari vyenye mrengo wa CCM na serikali vimekuwa mara nyingi vikiandika habari mbaya kuhusu Chadema nyingi zikiwa zimetiwa chumvi na nyingine hata kupotoshwa. Naamini wanadhani wanakikomoa Chadema bila kujua kwamba ndiyo wanakipa umaarufu.

Unahitaji falsafa ya watoto kujua jambo hili, yaani ukitaka watoto wasiguse kitu fulani basi usiwakataze kwamba mtu asiguse hapa; lakini ukiwaambia msiguse au msifanye jambo fulani hapo ndiyo unawajengea udadisi wa kutaka kujua je kuna nini hapo kwa nini tukatezwe. Na kwa vyovyote vile lazima watagusa au kufanya. Kwa hiyo CCM kuikandia Chadema kila siku kinawajengea Watanzania udadisi wa kukifuatilia Chadema na kugundua kumbe sio kama wanavyoelezwa huenda ndiyo maana hata Igunga waliamua kupigia kura Chadema kwa sababu kilishambuliwa sana na CCM.

Craaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa , ingekuwa hivyo hata ubunge wasinge kosa igunga. Igunga hatukuwa tunataka kujua idadi ya kura bali ulikuwa ni uchaguzi wakumpata mbunge, sasa baada yakushindwa mnaleta thread sijui za kura, sijui nn mmpeta hasara kubwa , tshs 400mn zimemezwa igunga , ubunge hamkupata na chama kimefilisika
 
Ningejua unakoishi ningeiweka akili zako sawa!
 
Unatumia nguvu kubwa sana kushindanisha kichuguu na mlima kilimanjaro.
 
Craaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa , ingekuwa hivyo hata ubunge wasinge kosa igunga. Igunga hatukuwa tunataka kujua idadi ya kura bali ulikuwa ni uchaguzi wakumpata mbunge, sasa baada yakushindwa mnaleta thread sijui za kura, sijui nn mmpeta hasara kubwa , tshs 400mn zimemezwa igunga , ubunge hamkupata na chama kimefilisika
Pale mbumbumbu anapojiita Genius! Kwa ufinyu wa akili ulionao unaona CCM imeshinda na kuongeza idadi ya wabunge na kuongeza ruzuku? Pole sana ndugu zuzu, CCM imerejesha kiti chake kwa mtaji wa bilioni 3, imepunguza kura zake za ubunge kwa kura 9,000. CDM haikupoteza kiti chochote, ila imejiongezea kura 23,000 za ubunge. Kama ruzuku na matokeo ya uwiano wa viti vya ubunge, kra za urais na ubunge, CDM is the winner in a battle field. Wamewekeza 400m, wameongeza ruzuku. Chama cha masifa wamewekeza 3b, wamepunguza ruzuku. Nani mwenye akili hapo?
 
Craaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa , ingekuwa hivyo hata ubunge wasinge kosa igunga. Igunga hatukuwa tunataka kujua idadi ya kura bali ulikuwa ni uchaguzi wakumpata mbunge, sasa baada yakushindwa mnaleta thread sijui za kura, sijui nn mmpeta hasara kubwa , tshs 400mn zimemezwa igunga , ubunge hamkupata na chama kimefilisika

Hivi wewe ni Genius brain kweli? Juzi ulituandikia cdm imetumia 1.32bn leo unaandika 400mn. Usiwe kama changudoa,be consistent man? Unatuchanganya hata sisi tunaofuatilia thread zako. Nimeshaona unaandika upupu tu.
 
Craaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa , ingekuwa hivyo hata ubunge wasinge kosa igunga. Igunga hatukuwa tunataka kujua idadi ya kura bali ulikuwa ni uchaguzi wakumpata mbunge, sasa baada yakushindwa mnaleta thread sijui za kura, sijui nn mmpeta hasara kubwa , tshs 400mn zimemezwa igunga , ubunge hamkupata na chama kimefilisika

Taratibu ndugu,
Hoja hapa ni kwamba mnakipandisha chati CHADEMA bila kujua na mkija kushutuka Watanzania wengi watakuwa wameishatumia falsafa ya kitoto kufuatilia CHADEMA na wakigundua ukweli hatutazungumzia tena idadi ya kura bali CCM kushindwa na Chadema kushinda tena kwa kura nyingi tu.
 
Craaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa , ingekuwa hivyo hata ubunge wasinge kosa igunga. Igunga hatukuwa tunataka kujua idadi ya kura bali ulikuwa ni uchaguzi wakumpata mbunge, sasa baada yakushindwa mnaleta thread sijui za kura, sijui nn mmpeta hasara kubwa , tshs 400mn zimemezwa igunga , ubunge hamkupata na chama kimefilisika

Haihitajiki elimu ya chuo kikuu kutambua akili zilizochanganyika na haja kubwa.
 
Back
Top Bottom