CCM udom wanateseka jamani!

hata mie hainiingii akilini kabisaaa...inawezekana wamesoma but hawajaelimika
Unajua kusoma siyo mwisho wa ujinga, hao wanafunzi wanaojidai kushabikia CCM bado wako kwenye stage ya kwanza kabisa ya ujinga ambayo ni kutojitambua wenyewe na kutotambua nafasi yao katika jamii.
 
Only ni kweli kuna wakati inafika nguvu lazima itumike. At this stage sisi wapenda mabadiliko na anti Chama Cha Magamba tunatakiwa tukae mbali sana na fujo kwa sababu ni strategy ya Magamba kutumia Chama kama Chadema na kuki label kuwa ni Chama cha fujo na vurugu pale wenye itikadi tofauti na wao wanapotokea ku express tofauti zao.
 
Back
Top Bottom