CCM udom wanateseka jamani!

LWAKAPISI

Member
Mar 31, 2011
46
4
katika hali inayoonesha kuwa mahesabu ya ccm kuwa udom ni kambi yake yanapotea sasa wanaccm wachache chuoni hapa wamekuwa hawana amani tofauti na wenzao wa cdm.Mfano siku wanaenda kuazimisha kuzaliwa chama tr5.2,huko chuo cha sayansi ya jamii gari la matangazo lilipigwa mawe hadi likaondoka,chuo cha elimu wachache waliojitokeza walirushiwa maji taka,kuzomewa na kupigwa mawe,Kali ni juzi tr14.4 ambapo mmoja wao aliyejulikana kwa jina la MACHAKU alikuwa akipita mitaa ya hosteli za chuo cha elimu akitangaza kuwa tar16.4 kungekuwa na mkutano wa chama ukumbi wa nec,lakini maeneo yote alizomewa,kutupiwa majitaka na matusi juu hadi chuo ikawa tafrani kwa mayowe.Hii ni tofauti na wale wa cdm maana wao wakionekana kutangaza kitu au mkutano chuo kizima ni kelele za shangwe na peoples power kwa sana,

hakika udom imekombolewa ccm jenga pengine
 
namshangaa sana mtu anae jiita msomi na bado ana shabikia ccm sijui kuna nini huko jipya wanalo tegemea
 
namshangaa sana mtu anae jiita msomi na bado ana shabikia ccm sijui kuna nini huko jipya wanalo tegemea
hata mie hainiingii akilini kabisaaa...inawezekana wamesoma but hawajaelimika
 
aibu msomi na mchambuzi wa mambo uwe bado unaamini sera za ccm-ufisadi wa mali asili zetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Huwezi kuchanganua ukweli na ukagundua kuwa umaqsikini wa watanzania ni wa kujitakia kwa sababu ya viongozi wabinafsi. wasomi ni wakati wa kuongoza mageuzi-elimisha umma, baba na mama!! big up-udom.
 
hamna kitu, CCM ni chama ambacho kina miaka mingi kuanguko, CCM ni kama Kongowe (Crane) kwa kuishi muda mrefu
 
safi sana wapendwa kaza buti

sasa vijana wa udom mmedhihirisha usomi wenu na ueledi maana wazee wa magamba walitala kuwazeesha eti nanyi muwe na magamba mfanane nao hata hao wachache mjitahidi wakomboleke
 
kazi kweli kweli lakini jamii tuwe tayari kukubali kutofautiana kwa itikadi tunajua CCM wamepotea lakini isifike wakati tukawapiga mawe kwani Daima hatutaki taifa lenye pande moja ya mawazo. Ni wakati wa kujenga mfumo safi wa siasa za nchi yetu ili tuwe na mfumo wa mawazo mbadala na kuwakomboa vijana wenzetu walio katika jela ya CCM
 
Waje Moshi, Ofisi za CCM ziko kwenye mchakato wa kutaifishwa kwani walikuwa wanamiliki kwa makosa.
 
Pamoja na kwamba lengo letu ni kuleta mabadiliko na kuifanya Serikali iwe transparent na accountable kwa wananchi wake, nadhani vitendo vya kuwashambulia wanafunzi wa UDOM ambao ni wanachama wa CCM ni kinyume cha sheria. Waachwe waandamane ili watimize haki yao ya kidemokrasia. Na hapa JF tukemee fujo dhidi ya kukundi chochote kile au mtu binafasi atakayenyimwa haki yake ya kidemokrasia regardless of a party affiliation, awe wa CCM, Chadema, CUF, NCCR..it does not matter. At the end of the day,wenye akili watajua ni chama kipi kwa maslahi ya Mafisadi na ni chama kipi kipo kwa maslahi ya ordinary people.
 
Jamii isifike mahali ambapo tunashabikia vurugu,ni kweli kwa msomi kama huyo wa chuo kikuu kutokuona madhambi ya ccm anatia shaka katika usomi wake,lakini tusimlazimishe kujua kwa nguvu ipo siku atajua kwamba yeye ana Macho lakini anatembea kafumba!!!
 
Hii ni propaganda ya Uchadema! Chadema walitaka kuanzisha mgomo Social science hadi Tundu lisu alishiriki kupanga nao mikakati lakini vijana wa CCM waliuzima na kuwambia msilete uchadema Udom! Nimapema mno kujitangazia ushindi bado CCM ina nguvu sana Udom! Chadema wanaonekana kwa kuzomea lakini CCM wanafanya mikutano ya mafunzo kila siku kimya kimya!
 
Pamoja na kwamba lengo letu ni kuleta mabadiliko na kuifanya Serikali iwe transparent na accountable kwa wananchi wake, nadhani vitendo vya kuwashambulia wanafunzi wa UDOM ambao ni wanachama wa CCM ni kinyume cha sheria. Waachwe waandamane ili watimize haki yao ya kidemokrasia. Na hapa JF tukemee fujo dhidi ya kukundi chochote kile au mtu binafasi atakayenyimwa haki yake ya kidemokrasia regardless of a party affiliation, awe wa CCM, Chadema, CUF, NCCR..it does not matter. At the end of the day,wenye akili watajua ni chama kipi kwa maslahi ya Mafisadi na ni chama kipi kipo kwa maslahi ya ordinary people.

Good ideas and comments....issue hapa ni kuwa hawa jamaa ni wahuni,ukifanya mambo kipole na kiustaarabu utakula wa chuya...wakati mwingine nguvu ya ziada yapaswa kutumika ili mradi haiatarishi amani..........
 
Hii ni propaganda ya Uchadema! Chadema walitaka kuanzisha mgomo Social science hadi Tundu lisu alishiriki kupanga nao mikakati lakini vijana wa CCM waliuzima na kuwambia msilete uchadema Udom! Nimapema mno kujitangazia ushindi bado CCM ina nguvu sana Udom! Chadema wanaonekana kwa kuzomea lakini CCM wanafanya mikutano ya mafunzo kila siku kimya kimya!

Ni aibu kubwa kwa msomi wa sasa kuamii kuwa bado CCM ina sera nzuri za kumkomboa Mtanzania. Ndugu zangu mmepotoka. Inakuwaje mnashindwa hata na watoto wa darasa la pili wanaojua kabisa kwamba CCM imefulia?
 
kazi kweli kweli lakini jamii tuwe tayari kukubali kutofautiana kwa itikadi tunajua CCM wamepotea lakini isifike wakati tukawapiga mawe kwani Daima hatutaki taifa lenye pande moja ya mawazo. Ni wakati wa kujenga mfumo safi wa siasa za nchi yetu ili tuwe na mfumo wa mawazo mbadala na kuwakomboa vijana wenzetu walio katika jela ya CCM

I just wish siasa za Chadema zingekuwa hivi, very well said mkuu.
Kwamba ushabiki wa chama usikutie upofu kuona uhalifu upande wa chama chako.
Nature ya wanachadema wengi hasa mashabiki ndiyo itakayokigharimu chama.
Chadema wana wanachama na na mashabiki wengi, hao kiujumla tunasema ni kura za Chadema kwenye uchaguzi, nimesema kiujumla. Iko hivyo kwa Ccm pia.
Lakini ikumbukwe kuwa wapo wapiga kura ambao wako neutral, hawana unazi yaani hawakipendelei chama lakini wanachambua hoja za wagombea. Naamini tabia za mashabiki wengi wa Chadema zinakigharimu chama kwa kukosa ushawishi kwa kundi hili la watu ambalo ndilo hasa linaloshindaniwa.
Ccm waliambiwa kusoma na kuzitambua alama za nyakati and now they are doing something. Ushauri huo huo unaihusu Chadema lakini wanarespond kwa uzito sana. They should switch to right politics vinginevyo itakuwa ni kama "chagua chadema, chagua vurugu" au "chagua chadema ukose uhuru wa kutoa maoni" maoni ambayo yatawapinga au kuwakosoa, maoni watakayoyaita pumba, upuuzi, upupu na matusi mengine mengi...
 
ccm hoyeeeeee, magamba tumeyavua sisi, sasa sijui sera mpya itakua nini! Kama sera bado itakuwa ufisadi tena basi vyama vijiandae kufa.
 
Back
Top Bottom