CCM, uchaguzi na political communication

MiriamB

New Member
Mar 23, 2011
1
0
Wapendwa wa jamiiforums,

Ninatoka Ulaya, nilikuwepo Tanzania kutoka mwezi wa 7 mpaka mwezi wa 12, na sasa ninaandika kwa chuo kuhusu "Political Communication during the 2010 Tanzanian Elections".

Ninatafuta information kuhusu budget ya campaign. Kuna mtu anayeweza kunisaidia?

Pia nimeona kwama Diamond aliimba wimbo "Mbagala" kwa CCM wakati wa campaign (alibadilisha lyrics). Mnajua kama Diamond alipata pesa kutoka CCM na ngapi?

Asante na salamu nyingi,
Miriam
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom