CCM, tuonyesheni nyaraka za malipo kwenda TBC1 kugharamia kurusha LIVE Sherehe za CCM kesho

nyaraka zipo lumumba we wataka ziletwe JF !! jumatatu ofisi ipo wazi unakaribishwa sana mkuu
 
Nyie CCM msijifanye miungu msotaka kukosolewa wala kuhojiwa, mmezoea kuishi kwa uongo Na udanganyifu, km kweli mmelipia wekeni ushahidi hapa tuone, Na sio blah bla bla
 
kibaraka wa lumumba! antony dialo! hili hata mtoto wa kindergaten hashangai! ccm ni jipu!
 
Kwa mujibu wa tangazo liliroshwa na star tv,kesho TBC1 kwa kushirikiana na Star tv,wataonyesha moja kwa moja sherehe za kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi(CCM) zitakazofanyika mjini Singida kesho na mgeni rasimi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Raisi mstaafu Jakaya Kikwete.

Binafsi sina shida na TBC1 kuonyesha live sherehe hizo, ila nachotaka kujua ni fedha kiasi gani CCM wameilipa TBC1 na tunawataka waonyesha nyaraka za malipo hayo kwani wote tunakumbuka uamuzi wa hivi karibuni wa serikali kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya Bunge kwa kile tulichoambiwa ni TBC1 kutumia fedha nyingi(bilioni 4 kwa mwaka) kurusha matangazo hayo live na hivyo kuigharimu serikali fedha nyingi.
Kwani wakishakuonesha receipt ya malipo then utachukua hatua gani? Sasa ni hivi, usipate shida, kesho fika ofisi za TBC asubui then nenda Mhasibu Mkuu UMUOMBE hizo taarifa.. atakupatia halafu uje hapa JF utangaze. sawa mtanzania????
 
wakuoneshe ili iweje na wewe ni nani?. anzeni nyie kutuonesha risiti ya luwasa kununua chadema na manyumbu wote...
Yeye Ni Mwananchi, ambaye Raslimali za Nchi ni Zetu wote, Pili analipa Kodi inayoiendesha TBC, Ni mpumbavu tu asiyejua Mwananchi ni nani hili ni swali la Kunya! Kama mwananchi angelikuwa, "Yeye ni nani" Hawa mabwana zako unaowaabudu wa CCM wanafuata nini kwa wananchi nyakati za Uchaguzi na Kusema ... "Mkinichagua... Mkinipa Ridhaa yenu... Naombeni Kura zenu" Angekuwa si kitu si! acha nisije nikutukane
 
Sometimes ni bora kukaa kimya kuliko kujiaibisha.
Mimi au wewe wa kukaa kimya? Unataka serikali wakupe receipt cha kujiuliza watakupia wapi wakati utambuliki wewe ni nani labda unataka wakuletee wapi kwa mfano?
 
Kwa mujibu wa tangazo liliroshwa na star tv,kesho TBC1 kwa kushirikiana na Star tv,wataonyesha moja kwa moja sherehe za kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi(CCM) zitakazofanyika mjini Singida kesho na mgeni rasimi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Raisi mstaafu Jakaya Kikwete.

Binafsi sina shida na TBC1 kuonyesha live sherehe hizo, ila nachotaka kujua ni fedha kiasi gani CCM wameilipa TBC1 na tunawataka waonyesha nyaraka za malipo hayo kwani wote tunakumbuka uamuzi wa hivi karibuni wa serikali kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya Bunge kwa kile tulichoambiwa ni TBC1 kutumia fedha nyingi(bilioni 4 kwa mwaka) kurusha matangazo hayo live na hivyo kuigharimu serikali fedha nyingi.
Daaaaaaa,mkuu naona umeamua kuwachokoza manyumbu,subiri wakushukie
 
Mimi au wewe wa kukaa kimya? Unataka serikali wakupe receipt cha kujiuliza watakupia wapi wakati utambuliki wewe ni nani labda unataka wakuletee wapi kwa mfano?
Wacha kujitoa ufahamu hapa tunahitaji waweke hizo receipt tuzione msitumie hilo li tbc kwa manufaa yenu tu lkn ikifika muitumie kuwaonyesha wabunge wenu wanavyo lala usingizi bungeni mnaleta mipasho
 
Back
Top Bottom