CCM: Tunatekeleza Ilani ya Uchaguzi 2010 - Tiba Loliondo

Albert Msando

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,019
171
Just for a political laugh...

CCM yadai tiba inayotolewa Loliondo ni mojawapo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi....

I got a text msg, I laughed then I thought....wait a minute.....is it a possibility?

Then, I asked myself, what happened to the trust we had on our hospitals? The Pastor may be curing chronic diseases but what about our ailing education? Inflation? Non employment?

Tunaweza kwa imani kupona magonjwa yanayotusumbua, je na wanafunzi wanaofeli, vijana wasio na ajira tunawatibu kwa imani pia? Tunasubiri ajitokeze pastor mwingine anayegawa maji kuponya waliofeli form four na wasio na ajira?

Just a thought!
 
The Pastor may be curing chronic diseases but what about a ailing education? Inflation?

!

Moja baada ya ingine. Kwa sasa ilani yetu inasoma Loliondo. Nani kasema inchi imetushinda? sasa wote mnakimbilia uponyaji loliondo. Tunatembea ndani ya mistari ya ilani.
 
Sigma, again you have made me laugh, a painful laugh. Kwa hiyo kwa sasa ni loliondo halafu baada ya hapo tunarudi kwenye elimu na mengineyo? Sasa tiba za hayo mengine itakuwa kijiji gani? Na Pastor atakuwa wa kulekule kwa kina mwa...? Au suala la imani litaingizwa na kubalance?
 
Sigma, again you have made me laugh, a painful laugh. Kwa hiyo kwa sasa ni loliondo halafu baada ya hapo tunarudi kwenye elimu na mengineyo? Sasa tiba za hayo mengine itakuwa kijiji gani? Na Pastor atakuwa wa kulekule kwa kina mwa...? Au suala la imani litaingizwa na kubalance?

Next time tutakuwa ZnZ kudumisha muungano.
 
kweli nimecheka na mwaka 2015 utackia kwenye kampeni zao walivyofanikiwa kumshauri babu aweke kwango cha chini ili kutmiza kauli mbiu ya maisha bora
 
Vipi kuhusu ndesapesa kupeleka helkopiter si cdm wanatekeleza ilani yao hata ka wako nje?
 
Ninyi vipi tena hivi mnafikiria nini?kwa hiyo dawa ni yakweli au!acheni hizo,tuachie chama chetu
 
Back
Top Bottom