CCM: Tuna madiwani 16 Arusha

Huyu jamaa ni hopeless kabisa hajui maana ya uchaguzi.

Huyu ni pupet wa CCM, political commissar and propagandist wa hicho chama tawala. Anaongea bila kufikiri kama ndugu yake.
Mpeni pole saana maana ukweli utajulikana siku si nyingi.
 
Pili, kulingana na katiba huyo mama wa Tanga ni mjumbe halali wa hilo baraza la jiji la Arusha.

Suala la kujiuzulu ni mpaka mkurugenzi wa jiji akitangaza na baada ya hapo uchaguzi utaitishwa.
Hizo sentensi mbili ndizo facts ambazo wewe na Makamba na Hiza hamtaki ziwe facts kwenu nikiongezea na fact ya Diwani wa TLP hamtaki kusikia kitu kama hicho but it is there.
 
Nisahihishe
Katibu wa Chama ngazi ya mkoa ni mtendaji na hivyo ni kazi ya ujira wa mwezi. Mbunge nayo ni kazi ya ujira wa mwezi, kwanini asiachane na Ukatibu wa Chama na kwenda kuwahudumia wale aliowatumia kama ngazi ya kupatia ubunge?

Nafikiri pia kama ni hivyo utakuwa tayari kusema Zitto aache kuwa naibu katibu wa CHADEMA ili akawatumikie muda wote kule Kigoma.

Atakaye pata madhara ni yeye mbunge kwa kuamua kutumikia Arusha badala ya Tanga ambako ndiko alipatia cheo. Haya mambo ni uamuzi wa mtu na tunachotakiwa kuangalia zaidi ni je katiba inaruhusu? kwenye hili katiba inamruhusu kabisa.
 
Hizo sentensi mbili ndizo facts ambazo wewe na Makamba na Hiza hamtaki ziwe facts kwenu nikiongezea na fact ya Diwani wa TLP hamtaki kusikia kitu kama hicho but it is there.

Wacha nikubali kutokukubaliana na wewe. Wale waliotaka kujua wameelewa, nikiendeleza kujadiliana na wewe itageuka kuwa mabishano badala ya kufahamishana.

Uko huru kuamini unavyoelewa kama nilivyo huru kuamini nilivyoelewa.
 
The same to you, you are free to buy Tambe's idea that Chatanda ni mbunge halali wa Arusha na uchaguzi ulikuwa halali mbali ya kukiuka 2/3 ya wajumbe.
 
The same to you, you are free to buy Tambe's idea that Chatanda ni mbunge halali wa Arusha na uchaguzi ulikuwa halali mbali ya kukiuka 2/3 ya wajumbe.

Hilo la kwamba uchaguzi ulikuwa halali sijaliongelea mahali popote. In fact sijui kama uchaguzi ulikuwa halali au la. Nimeongelea idadi ya madiwani na uhalali wa huyo mama kuwa mjumbe.

Sababu kubwa ni kwamba siijui hiyo sheria ya 2/3. Kama ipo basi uchaguzi haukuwa halali maana madiwani 17 hawafikishi 2/3 ya madiwani 31 ambao kwa ninavyojua ndio madiwani halali wa Arusha.

Kama kuna mtu anajua hiyo sheria ni namba ngapi na wapi basi tujulishane kwa faida ya kuelemishana. Nilisoma mahali mkurugenzi wa jiji la Arusha akisema kinachotakiwa ni simple majority. Lakini yeye mwenye ni mhusika kwenye hili tatizo hivyo maneno yake hayawezi kuaminiwa kwa asilimia 100. Inatakiwa atoe vifungu ili kila mtu avisome na kujaribu kuelewa vina maana gani.
 
Mkulima;

kwanza sio kweli kama Mbunge wa viti maalum hawana sehemu wanazotambuliwa ndani ya mamlaka zao;kwa mfano mbunge wa viti maalum Hilda Ngoye yeye anapiga kura yake kumchagua meya wa Mbeya tu kama ilivyo Zabida Masaburi kwa Dar;Mama Chitanda alipita kama Mbunge Maalum CCM Tanga na anapaswa kupiga kura yake Tanga tu kama ilivyo kwa Ms Bilal kupiga kura yake ZNZ.

Mkulima;

CCM ilikuwa na wapiga kura 17 kwenye uchaguzi ule wa kinyemela.Ukimtoa Mamluki Mama Mary Chitanda wa Tanga aliyekuja kupiga kura ARusha basi CCM itabaki na wapiga kura halali 16.Ukimtoa diwani wa TLP aliyeshiriki na CCM kabla ya kujizuru basi CCM inabaki na wapiga kura halali 15 tu na ukimtoa diwani wa CCM aliyejizuru juzi basi CCM inabaki na wapiga kura 14 tu halali!

Mkulima;

Kwa mtiririko huo basi ni wazi unajua sasa kwa nini CCM inamleta mamluki toka Tanga kuja kupiga kura Arusha!

Ongezea Vicky Kamata ni mbunge wa vitu Maalumu Mkoa wa Geita!
 
Quinine,

Unaanza sasa kuwa kituko humu ndani. Mjadala sasa unaelekea kwenye KATIBA zaidi na tumeacha Propaganda.

Unaingiza vifungu vingi sana humu ndani ambavyo unaanza kuonekana kama Lisanamu la Michelin vile.....

Hapa tunajadili kitu kimoja tu "Chitanda alikuwa na haki ya kupiga kura au laa...."

Sasa haya ya Reggae, Mke wa mtu na kila aina ya mipasho yanatoka wapi? Kumbe Mkuu na wewe ni mtu wa Modern Taarab? Mwanzo nilikuwa nahofia kuwa unaelekea huko ila sasa nimepata uhakika kuwa ni PURE MIPASHO.

Kama kuna kuvunjwa sheria ya idadi ya wanachama wanaopiga kura 2/3 basi hebu lete hicho kifungu pia tukijadili na sidhani kama hata kitahitajika kujadili maana CCM na TLP kwa uhakika hawakufika 2/3 na hivyo Uchaguzi haukuwa HALALI.

CCM na hasa PM Pinda, alikuwa na uwezo kabisa wa kulimaliza hili. Ilitosha tu kuongea na uongozi wa JUU wa CHADEMA na wangelikwenda hapo na kuwajulisha jamaa wa Arusha SHERIA ikoje na uchaguzi ukafanyika. Sidhani kama Lema na kundi lake wangelibisha. Nashindwa kufahamu kwa nini hakulishughulikia hili ingawa alikuwa kaahidi kulifanyia kazi mwishoni na mwanzoni wa Mwaka kabla ya Mauwaji.

Juu ya IMANI yangu kichama, hadi sasa sina CHAMA na maishani sijawahi kupiga kura hata siku moja kuchagua Rais wala Mbunge. Sasa waweza kuniweka kwenye KAPU lolote unalotaka Mkuu na maadamu wewe ni Mipasho Man, wala sintabishana na wewe maana huko ndiko kwenye maeneo yako ya kujidai na inabidi tu Utunukiwe u-Dr wa Mipasho na UDOM.

Maadam REGGAE huzipendi, basi angalia hiki kibao Fundamentalist wa Chadema weee..........

YouTube - J Martins - Jupka (Remix) Ft. Fally Ipupa
 
Nyambala,

Kuna HAJA kabisa kufuta WABUNGE WOTE WA KUTEULIWA na MADIWANI WOTE WA KUTEULIWA.

WanaUWA maana ya neno DEMOKRASIA. Hili hata mie nakubaliana na wewe........
Mkuu Sikonge If this is the case, Conclusion inayonijia haraka haraka in my own opinion ni kwamba hawa wabunge wa viti maalumu hawaiwakilishi demokrasia period!!
 
Quinine,

Unaanza sasa kuwa kituko humu ndani. Mjadala sasa unaelekea kwenye KATIBA zaidi na tumeacha Propaganda.

Unaingiza vifungu vingi sana humu ndani ambavyo unaanza kuonekana kama Lisanamu la Michelin vile.....
Wewe Afande Samwel vipi baada ya kaka yako kugaragazwa kule Kyela hutumii tena hilo jina huna lolote uwt.
 
Vicky na Josephine wanaweza kwenda kuchagua Meya kule Mbeya?

Kwa katiba iliyopo wangeweza kufanya hivyo kama vyama vyao vingewaruhusu na kuijulisha halmashauri husika.
Sio kwamba unaenda kuchagua Meya tu bali inakuwa ndio official diwani wa halmashauri hiyo. Huwezi wiki nyingine ukahamia halmashauri nyingine.

Mbona huongelei wale wa CHADEMA waliopelekwa halmashauri ya Hai?
 
Mwanaume wa kweli mwenye kila kitu sawasawa, huwa ana SIFA moja kubwa sana.

"Akishindwa, basi husimama na kutoa mkono kushindwa."

Tuendelee na MJADALA sasa maana naona tumeshaelewana. Umemsikia lakini Fally Ipupa na J Martins? Au wewe ni Mazee Yusufu kama nduguyo Dr Dr Dr Dr Kikwete?

By the way: Hahahaaa, Afande Samwel alienda Kyela kula X-mas. Ngoja nimtafute kwa simu kabla hajachukua Pipa kwenda zake Kamchatka.
Wewe Afande Samwel vipi baada ya kaka yako kugaragazwa kule Kyela hutumii tena hilo jina huna lolote uwt.
 
Mwanaume wa kweli mwenye kila kitu sawasawa, huwa ana SIFA moja kubwa sana.

"Akishindwa, basi husimama na kutoa mkono kushindwa."

Tuendelee na MJADALA sasa maana naona tumeshaelewana. Umemsikia lakini Fally Ipupa na J Martins? Au wewe ni Mazee Yusufu kama nduguyo Dr Dr Dr Dr Kikwete?
Naona umeelewa nilifikiri utaliendeleza nikukumbushe bifu lako na MKJJ mlipotoleana siri zenu zote ningezibandika tena hapa lakini kama nilivyosema mimi huwa kinyonga nacheza mziki wowote kadri mtu atakavyoupeleka.
 
Manispaa ya Arusha, the so called Jiji ina kata 17 tu. Ana maana hata Mbunge wa Arusha ni wa CCM?
 
Kwa katiba iliyopo wangeweza kufanya hivyo kama vyama vyao vingewaruhusu na kuijulisha halmashauri husika. Sio kwamba unaenda kuchagua Meya tu bali inakuwa ndio official diwani wa halmashauri hiyo. Huwezi wiki nyingine ukahamia halmashauri nyingine.

Mbona huongelei wale wa CHADEMA waliopelekwa halmashauri ya Hai?

Mkuu hata wewe kumbe unaweza kwenda low kiasi hiki? Nisaidie hicho kipengele cha katiba. Tuendelee kufunzana.
 
Mie Mnyamwezi wa Sikonge na Mnyakyusa wapi na wapi? Nawafahamu Mwakalinga family wengi tu ila mie siyo mtu wa huko wa Kyela na wala sijafika. Unaweza ukaweka ila utakuwa unaumbua watu wengine kabisa na siyo mie.

Veve Nyanda, Msula eve. Lelingange, kada kiti kampaninga kahurumzya, Fyonooo....... Nafikiri Kinyonga kaelewa :)
Naona umeelewa nilifikiri utaliendeleza nikukumbushe bifu lako na MKJJ mlipotoleana siri zenu zote ningezibandika tena hapa lakini kama nilivyosema mimi huwa kinyonga nacheza mziki wowote kadri mtu atakavyoupeleka.
 
Mkulima

Asante kwa kujibu swali kuhusiana na idadi ya madiwani ktk vyama huhusika, sasa mwenye macho haambiwi tazama, akili ni nywere kila mtu na zake. Shauri lao wenye vipara kichwani.
 
Mkuu hata wewe kumbe unaweza kwenda low kiasi hiki? Nisaidie hicho kipengele cha katiba. Tuendelee kufunzana.

Ukitumia ufafanuzi huu hapa chini wa katibu wa bunge, unapata sheria zote zinazotumika. Kwa Arusha kulikuwa na malalamiko mawili. CHADEMA wakisema Chatanda hawezi kuwa diwani Arusha na CCM wakisema mbunge wa CHADEMA hajaapishwa bungeni hivyo hawezi kushiriki kuchagua meya.

Malalamiko yote yalitupwa chini. Mbunge kama hajaapishwa haruhusiwi kushiriki hoja bungeni ila anaruhusiwa kutimiza majukumu yake mengine yote.

Soma ufafanuzi huu hapa chini:

Naibu Katibu wa Bunge Bw. Eliakim P. M. Mrema alitoa ufafanuzi kwa barua yake Kumb. Na. CEB.77/155/01/79 ya Desemba 17, 2010, akiarifu kuwa kwa mujibu wa Kanuni ya 23 na 30(4) ya Kanuni za Bunge (2007); Ibara ya 59(1) na 66(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; kifungu cha 44, 81 na 86A(6) cha Sheria ya Taifa ya uchaguzi Sura ya 343 na kifungu cha 24(1)(d) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) sura ya 288 na Sheria Na.13 ya mwaka 2006, wabunge hao wawili ni wajumbe halali wa Halmashauri ya Manispaa ya Arusha baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kupangiwa na vyama vyao – Halmashauri ya Manispaa ya Arusha.
 
Back
Top Bottom