CCM tuna aslimia 92.8% ya ushindi Arumeru east ni zaidi ya ushindi

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Tunapenda kutoa taarifa kwa wanachama na wapenzi wote wa CCM nchini Tanzania kuwa chama chetu Tawala tayari kinauhakika wa kuchukua jimbo la Arumeru ki urahisi kabisa baada ya wanaarumeru kuwa na imani zaidi na sera za chama kwani kwa utafiti wa kisayansi tayari tuna ushindi wa zaidi 92.8%. Kampeni zetu zinafanyika kisayansi zaidi kwani zinalenga hasa kundi maalum litakalopiga kura siku ya tarehe moja huku kikosi cha wahamishaji kikifanya kampeni za mtu kwa mtu na kaya kwa kaya.

Endelea kukipa support chama chako tawala kwa maendeleo endelevu ya Tanzania

Kuwa mzalendo kwa kuishangilia na kuipa kura yako daima CCM

Labda masanduku ya kura bandia kama ni mengi zaidi ya 100 na kama tayari mshahesabu, hiyo sawa,lakini ipo siku mutatamani siem yenu hata isisikike hata masikioni mwenu subirini.
 
Endelea kukipa support chama chako tawala kwa maendeleo endelevu ya Tanzania

Kuwa mzalendo kwa kuishangilia na kuipa kura yako daima CCM

Kama ushindi tiyari 92.8% hiyo blue ni ya nini?
 
Umeongea ukweli mkuu . Achana na mavuvuzela yasikufundishe uwoga . Hata igunga na uzini yalibisha .
 
Tunapenda kutoa taarifa kwa wanachama na wapenzi wote wa CCM nchini Tanzania kuwa chama chetu Tawala tayari kinauhakika wa kuchukua jimbo la Arumeru ki urahisi kabisa baada ya wanaarumeru kuwa na imani zaidi na sera za chama kwani kwa utafiti wa kisayansi tayari tuna ushindi wa zaidi 92.8%. Kampeni zetu zinafanyika kisayansi zaidi kwani zinalenga hasa kundi maalum litakalopiga kura siku ya tarehe moja huku kikosi cha wahamishaji kikifanya kampeni za mtu kwa mtu na kaya kwa kaya.

Endelea kukipa support chama chako tawala kwa maendeleo endelevu ya Tanzania

Kuwa mzalendo kwa kuishangilia na kuipa kura yako daima CCM

Wenzio kama wewe wakiwashwa masaburi, huwa wanawatafuta Ma-Mulla wa kuwakuna na si kuleta uozo humu JF
 
Huyo aloleta uzi keshatafuna kangeta mida hii,mana naskia ccm wamewaweka kambi,huduma wanayopewa ni mirungi na bange.
 
Tunapenda kutoa taarifa kwa wanachama na wapenzi wote wa CCM nchini Tanzania kuwa chama chetu Tawala tayari kinauhakika wa kuchukua jimbo la Arumeru ki urahisi kabisa baada ya wanaarumeru kuwa na imani zaidi na sera za chama kwani kwa utafiti wa kisayansi tayari tuna ushindi wa zaidi 92.8%. Kampeni zetu zinafanyika kisayansi zaidi kwani zinalenga hasa kundi maalum litakalopiga kura siku ya tarehe moja huku kikosi cha wahamishaji kikifanya kampeni za mtu kwa mtu na kaya kwa kaya.

Mwehu,dodoki, chizi, hamnazo, fyatu, matatizo, busati, tumbo mbele, taahira, nk nk nk nk nk nk nk nk nk nk.......... mpaka lini? Mwanaume mzima na suruali yako unashabikia utumbo na matumbo ya watu? Zaidi ya miaka thelathini wametufanyia nini ukilinganisha na walivyojifanyia? Utaendelea kuwatesa watanzania wenzako kwa kupokea elfu tano na kushabikia genge la mufilisi mpaka lini? Na mkishaanza kutaja asilimia ya kura hivi, tunajua tayari mna muafaka na NEC, mmekwisha nunua shahada na kuhonga wapiga kura na mawakala. Halafu eti unaleta hoja umetubania pua........asilimia! Tombina, tumbafu mafi gako!

Yaani ilivyosema 92.8% moja kwa moja nimejua ni cooked story kama za marehemu Tariq Aziz liyewahi kuwa mtu wa propaganda kuwahi kutokea duniani.
 
Tunapenda kutoa taarifa kwa wanachama na wapenzi wote wa CCM nchini Tanzania kuwa chama chetu Tawala tayari kinauhakika wa kuchukua jimbo la Arumeru ki urahisi kabisa baada ya wanaarumeru kuwa na imani zaidi na sera za chama kwani kwa utafiti wa kisayansi tayari tuna ushindi wa zaidi 92.8%. Kampeni zetu zinafanyika kisayansi zaidi kwani zinalenga hasa kundi maalum litakalopiga kura siku ya tarehe moja huku kikosi cha wahamishaji kikifanya kampeni za mtu kwa mtu na kaya kwa kaya.

Endelea kukipa support chama chako tawala kwa maendeleo endelevu ya Tanzania

Kuwa mzalendo kwa kuishangilia na kuipa kura yako daima CCM

Akili za Mwanaasha hizi! Hebu tuondokee hapa!
Eti utafiti wa kisayansi! Nyie wapumbavu na sayansi wapi na wapi? Labda uniambie utafiti wa kigagula hapo sawa!
Nyie wote akili zimejaa kinyesi hamwezi kufanya utafiti wa kisayansi!
 
sishangai, unaweza kukuta masanduku ya kura tayari ya ihizo kura

tatizo kubwa nilionalo kwenye kampeni za chadema ni ushabiki kuliko tekniks za ushindi
 
asante kwa uelewa wako kakaangu.
 
Tunapenda kutoa taarifa kwa wanachama na wapenzi wote wa CCM nchini Tanzania kuwa chama chetu Tawala tayari kinauhakika wa kuchukua jimbo la Arumeru ki urahisi kabisa baada ya wanaarumeru kuwa na imani zaidi na sera za chama kwani kwa utafiti wa kisayansi tayari tuna ushindi wa zaidi 92.8%. Kampeni zetu zinafanyika kisayansi zaidi kwani zinalenga hasa kundi maalum litakalopiga kura siku ya tarehe moja huku kikosi cha wahamishaji kikifanya kampeni za mtu kwa mtu na kaya kwa kaya.

Mwehu,dodoki, chizi, hamnazo, fyatu, matatizo, busati, tumbo mbele, taahira, nk nk nk nk nk nk nk nk nk nk.......... mpaka lini? Mwanaume mzima na suruali yako unashabikia utumbo na matumbo ya watu? Zaidi ya miaka thelathini wametufanyia nini ukilinganisha na walivyojifanyia? Utaendelea kuwatesa watanzania wenzako kwa kupokea elfu tano na kushabikia genge la mufilisi mpaka lini? Na mkishaanza kutaja asilimia ya kura hivi, tunajua tayari mna muafaka na NEC, mmekwisha nunua shahada na kuhonga wapiga kura na mawakala. Halafu eti unaleta hoja umetubania pua........asilimia! Tombina, tumbafu mafi gako!

Cwezi kukushangaa kwani tatizo sio la kwako bali ni sera za chama chako zinazokutuka kuropoka na kutukana
 
Matusi hayasaidii wana chadema bali mnachotakiwa na kubadilisha mbinu zenu za kampeni angalau muambulie 5% ya kura zitakazopigwa mkiendeleza matusi tutawaonesha kuwa sisi ni chama dume na kinachounda serikali
 
Upuuzi wa namna hii hauvumiliki, hawa jamaa hawakawi kuwafokea askari kwamba hawasaidi, watanzania 92.8% hatuipendi ccm-chama cha majambazi wanaopora mali ya nchi hii. Wana arumeru mashariki fanya kweli, kuleni pesa zao msikatae ni zetu za walipa kodi wa nchi hii, halafu nimesikia LOWASSA anakuje kuleta mapesa chukueni, siku ya 1/4/2012 tunataka mfanye kama zambia. DONT KUBEBA-msiwambie nini mtafanya, wasitufanye sisi watanzania. Tell them (CCM) one day they will regret.
 
Matusi hayasaidii wana chadema bali mnachotakiwa na kubadilisha mbinu zenu za kampeni angalau muambulie 5% ya kura zitakazopigwa mkiendeleza matusi tutawaonesha kuwa sisi ni chama dume na kinachounda serikali

kwahiyo unataka kuniambia magwanda ni garasha ?
 
Back
Top Bottom