CCM to split?

Juhudi zozote za kuunda CCM-halisi au CCM-Mtandao au whatever... haitafanya lolote... ila wana CCM makini kama akina Warioba, Butiku, Salim etc kuhamia CHADEMA kutakuwa na impact kubwa.
 
Upinzani uliopo CCM uko bayana na kila siku wanazidi kupaza sauti zinazokuza mpasuko. Kilichobaki ni ku-fomalaiz tu. Sina hakika kama msajili wa vyama hataamriwa kusitisha uandikishaji wa vyama vipya (nilishapata kusikia mzengwe wa aina hiyo kipindi fulani au?).

CCM ikigawanyika wizi utapungua, angalau tutapata kahaki kidogo. Ukombozi umekaribia! tuendelee kuomba Mungu.
 
Juhudi zozote za kuunda CCM-halisi au CCM-Mtandao au whatever... haitafanya lolote... ila wana CCM makini kama akina Warioba, Butiku, Salim etc kuhamia CHADEMA kutakuwa na impact kubwa.

Nachojua for sure ni kwamba CCM ikigawanyika, kura pia zitagawanyika. Kitendo cha kugawanyika tu kita-shock CCM mama na watakosa focus. Hiyo ni impact tosha. Sina hakika kama hawa magwiji wako tayari ku-enyekitiwa na akina Chadema.....
 
Wakihudhuria ama wakisusa inatusaidia nini kama Taifa? Rais Karume hakuhudhuria baadhi ya matukio ya kitaifa, kelele nyiiingi. Jana kahudhuria, sijui kama Taifa tumefaidika vipi na kuwepo kwake. Sasa naona tunaanza kutafuta ni nani kakosekana kwenye tukio hilo .... kwani imeandikwa wapi kwamba hao wanaotajwa ni lazima, lazima wahudhurie ....

He, hivi hiyo ndio issue? Hii ndio JF bwana, "Where We dare to Talk Openly"
 
Ila mnatiakiwa pia mchukulie haya kwa tahadhari ya hali ya juu sana... mimi naona jinsi wanachama wa CCM wanavyokuwa huru kuongelea mambo ya kitaifa huenda ndivyo wanavyokomaza chama chao.

Haya ngoja tuangalie, isijifika jamaa wakawa strong zaidi kuliko walivyo sasa!
 
I wish this were a true 'dream'.
Ngoja wagawanyike ili tuone bwana mkubwa kama safari za nje bado zitakuwepo! The timing ya kugawanyika nayo ni muhimu sana.
 
Ila mnatiakiwa pia mchukulie haya kwa tahadhari ya hali ya juu sana... mimi naona jinsi wanachama wa CCM wanavyokuwa huru kuongelea mambo ya kitaifa huenda ndivyo wanavyokomaza chama chao.

Haya ngoja tuangalie, isijifika jamaa wakawa strong zaidi kuliko walivyo sasa!

Hapo umepiga "IKULU" mara nyingi hapo ndio wanajenga wakati wengine vyama vyao vinabomoka
 
Salim, Warioba, Malecela, Butiku...inasikitisha Watanzania bado tuna imani kuwa mageuzi ya dhati yataletwa na wazee hawa..!!!

Hao wazee wote kwanza ni waoga (siwalaumu sababu ni wazee) na kuna sababu nyingine nyingi...lakini hilo la uzee linatosha. Waacheni wapumzike...

Vijana ndio wenye nafasi ya kuleta mageuzi ya dhati...Nnauye, Mnyika, Zitto na vijana wengine watoto wa wakulima Tanzania nzima.
 
Hivi nyie, hao CCM WATASPLIT KWA SHIDA GANI?? NANI KIONGOZI WA CCM ANAYEKAA NA NJAA ATAJIHANGISHA NA KUJIPA MAPRESHA YA KUSPLIT, nani mtajeni mmoja!
 
Ila mnatiakiwa pia mchukulie haya kwa tahadhari ya hali ya juu sana... mimi naona jinsi wanachama wa CCM wanavyokuwa huru kuongelea mambo ya kitaifa huenda ndivyo wanavyokomaza chama chao.

Haya ngoja tuangalie, isijifika jamaa wakawa strong zaidi kuliko walivyo sasa!

Hii point yako ya Political analyst imekaa level ya juu mkuu!

Vyama vingine wana fukuza tu, sijui ninininininii, Fukuza! haya tupo tuone mtafika wapi!
 
THE ruling Chama Cha Mapinduzi, which has been in power for more than 30 years, is in imminent danger of formally splitting within the next few months as a direct result of the increasingly messy ideological battle now being fought within its ranks.
.

Thats what we have been dreaming of, baada tu ya kugawanyika hapo ndipo tutapata demoksrasia ya kweli yenye kuzigatia utawala bora, maisha bora kwa kila mtanzania, raslimalizi zote ni za watanzania wote si individuals as of now, nuru mpya yenye matumaini.
Tuombe mungu atusadie wagawanyike na nafikiri kabla ya uchaguzi mkuu mtasikia kishindo kikuu.
 
Back
Top Bottom