CCM to split?

paesulta

JF-Expert Member
Mar 13, 2009
227
29
An appetizing array of fried octopus and other seafoods is displayed for sale to hungry passers-by just outside the Ferry Fish Market in Dar es Salaam yesterday.

THE ruling Chama Cha Mapinduzi, which has been in power for more than 30 years, is in imminent danger of formally splitting within the next few months as a direct result of the increasingly messy ideological battle now being fought within its ranks.

Well-placed sources within CCM itself have confirmed to THISDAY that a number of ruling party members of parliament, along with other senior CCM cadres, are contemplating leaving the ruling party altogether because of concerns over its direction in the fight against grand corruption.

”There is now a real danger that CCM will have become irreparably split by February 2010...and that is bound to precipitate a significant leadership exodus from the ruling party,” a senior CCM legislator told THISDAY in an interview.

The senior ruling party MP described the fierce accusations and counter-accusations traded at CCM’s parliamentary caucus meetings in Dodoma last week as part of an ”ideological battle within the party being fought in public.”

Various prominent CCM legislators and cadres have already told THISDAY separately that they would definitely consider leaving the party if the top leadership under the chairmanship of President Jakaya Kikwete does not seriously and conclusively address the grand corruption problem within the party sooner rather than later.

And the general public feeling is that they would be joined by scores more influential CCM cadres, in what might be the biggest bail-out from the party since its formation in 1977.

Although it remains unclear if the looming breakaway group would form its own political party or opt to join one of the existing opposition parties in the country, analysts say it would most certainly present the biggest test for CCM at the October 2010 general elections.

The late Father of the Nation, Mwalimu Julius Nyerere, is on record as predicting once upon a time that the real political opposition in Tanzania would emerge from within CCM itself.

It is now widely believed that following the general inconclusiveness of last weeks highly-charged CCM parliamentary caucus meetings in Dodoma held under the auspices of the ’Three Wise Men’ committee chaired by former president Ali Hassan Mwinyi, the future of the ruling party now rests firmly in the hands of its national chairman, incumbent President Kikwete.

The Mwinyi committee 'also comprising ex-East African Legislative Assembly Speaker Abdulrahman Kinana and current CCM Vice Chairman Pius Msekwa ' was formed to delve into the current serious rifts among ruling party MPs, and is now expected to submit its report to President Kikwete within the next few weeks, along with recommendations on how to go about restoring party unity in the face of the current crisis.

The president is then likely to discuss the Mwinyi committee report with members of the party’s top-tier central committee, before presenting it before the CCM national executive committee in December or January for final decision-making.

”The fate of our party now rests in the chairman’s (Kikwete’s) hands. What President Kikwete does after receiving the report from the Mwinyi committee will be crucial. Only he knows,” another senior CCM lawmaker told THISDAY.

Kishapu MP Fred Mpendazoe Tungu (CCM) is amongst those who have openly hinted at the growing potentiality of a formal split within the ruling party, asserting during last week’s parliamentary caucus meetings in Dodoma that CCM as a political party now needs to clearly state its position in the fight against grand corruption.

Another CCM insider told THISDAY on the sidelines of the caucus meetings: ”CCM has been hijacked by a network of corrupt politicians who appear determined to continue looting public funds. The day of reckoning has now come for our party, founded by Nyerere and (former Zanzibar president Abeid Amani) Karume as a party for the working class and peasant farmers - not for wealthy businessmen seeking ill-gotten wealth.”

According to reports from within the caucus meetings, the names of at least four prominent CCM legislators - Edward Lowassa, Rostam Aziz, Andrew Chenge, and Yusuf Makamba - were the focus of most of the deliberations.

Both Lowassa, the ex-prime minister, and Rostam have become heavily implicated in the now-infamous Richmond power generation scandal, leading to Lowassa's resignation from the premiership in February last year. Ex-attorney general Chenge was also forced to resign from his subsequent ministerial position after being similarly heavily-linked to the military radar corruption investigation.

As for Makamba, the current CCM secretary general and MP by virtue of presidential nomination, he has been described by various members of the CCM parliamentary caucus as a close ally of the Lowassa-Rostam-Chenge group.

Parliamentary sources say these four individuals are seen as the main players in a network of politicians which has forged a particularly-powerful alliance within the ruling party over the past decade or so. Insiders say CCM legislators are now sharply divided in three distinct groups - those who support the Lowassa-Rostam-Chenge-Makamba alliance, those who oppose it, and those who are basically neutral.
 
If this article is true, then this will bring turning poit toward our national development. it will be good for ccm to split, this will help to form strong opposition and the perliment will be very active. Kikwete will not be lazy like now.
 
what about if all the wafisadis are the ones who are gonna spilt and say form a new party or join another party,do u think we still gonna have the developments that we'ld like to see and the strengthening of the whole multi party democracy?
i'm not with CCM but i'm not with the opposition either cause we've been dissapointed enough......
 
Is very good thing if ccm split, because if ccm split is very good for country. National developments will be very good, country will be very good, ccm will be very good and appetizing array of fried octopus and other seafoods will be very good. All will be very good!
 
??? Mzee hapo ndo ulitaka kusemaje? Au ndo hivyo vipimo vya macho vimekunyima kuandika ulichotaka kuandika?

Hiyo issue ya "array of fried octopus..." nadhani jamaa alipocopy aliselect caption ya picha kwa bahati mbaya
 
Wajameni... Its not as easy kama inavyoonekana!!! Waswahili wanasema ushikwapo shikamana... majority ya walio ndani wanaogopa the split kwahiyo haiwezi kutokea labda baadhi ya watu waenguke na kukimbilia upinzani

tujiulize

  1. nani ana courage ya kutoka? mafisadi? halafu nani atawafuata? je wapiganaji watakubali kutoka?? pesa zao kichele na uchaguzi mwakani, watagombea kwa umbrella ipi?
  2. Nani kati ya waliopo yuko tayari kuanza kushughulikia usajili wa chama kipya? wakati kampeni zimeshaanza? ili apate nini?
  3. Nani anaweza kuwa tayari amemobilize hii move bila kujulikana wakati TZ yetu haina siri na mpaka leo tuwe bumbuwazi?
  4. Kwanini waanze upya wakati wengi wa wanasiasa wamedandia treni kwa mbele? hawakuanzia utotoni na siasa ikawa damuni?

Ikiwa kuna hii dalili, basi itakuwa baada ya 2010; na njia rahisi ni kurukia chama fulani basi!!
 
??? Mzee hapo ndo ulitaka kusemaje? Au ndo hivyo vipimo vya macho vimekunyima kuandika ulichotaka kuandika?

Hiyo issue ya "array of fried octopus..." nadhani jamaa alipocopy aliselect caption ya picha kwa bahati mbaya

Ok. All is very good if ccm split. Fried octopus and appetizing seafoods will be very good.
 
Jamani tusaidiane: Kuna tetesi kwamba ile ndoto ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere huenda ikatimia kwa kuanzishwa chama kipya cha CCM-Asili kitakachopambana na CCM-Mtandao........ Mwenye taarifa ama hata tetesi zaidi atujuze.

Nasikia wazee wamenuna sana kwa kuitwa "wahuni, wana chuki na wivu."
 
Bora kwetu kikianzishwa.Kuwa CCM asili..mhhh hapo hakuna labda kiitwe CCM waliofulia na CCM halisi.

Naingalia CCM ya kina Butiku,Warioba na Salim kama mtandao mwingine ulioshindwa 2005 na unatamani kupambana na mtandao ulioshinda.BAdo mitandao ya Babu Malecela na wengine waliofulia lakini wanataka kurudi kwenye mamlaka.

Wote wana haki maana kikatiba,karibuni kwemye ulingo!
 
Hili ndilo kila mtanzania mwenye uchungu na taifa hili angetamani litokee. Bila kuvunjika kwa CCM ama kwa kundi moja kuanzisha chama au kujiunga na chama kingine ni ngumu sana kuwang'oa madarakani hawa watu kwa karibuni.
 
KAMA KWELI NAMI NITAKUWA MWANASIASA KWA KUJIUNGA NA KUNDI LITALOJITENGA.......NIMECHOKA!!!!!!!............lol.
 
Nilichosikia ni kuwa wanamsubiri mkulu ajibu ndo bomu lianze kuvimba. Bado kidogo eti kwa kuwa kinachowasumbua ni nani wa kuanza na pia nani msafi? Suala la usafi ndo tabu kwa kuwa lazima either kuna advantage kuwa pamoja kulinda maslahi binafsi au kutengwa kulipuliwa au ujiandae na maisha usiyoyazoea.

Kimsingi habari za ndani wanawasifu wale wafanyabiashara waliotenganisha siasa mapema na wale waliobeba vyote but they are smart.
 
Bora kwetu kikianzishwa.Kuwa CCM asili..mhhh hapo hakuna labda kiitwe CCM waliofulia na CCM halisi.

Naingalia CCM ya kina Butiku,Warioba na Salim kama mtandao mwingine ulioshindwa 2005 na unatamani kupambana na mtandao ulioshinda.BAdo mitandao ya Babu Malecela na wengine waliofulia lakini wanataka kurudi kwenye mamlaka.

Wote wana haki maana kikatiba,karibuni kwemye ulingo!

Kwa kweli kwanza hata mm nilikwepa kutumia neno HALISI kwani lingefanana na jina langu lakini ndilo hasa wanalosema CCM-Halisi na CCM Mtandao.

Lakini kwa wewe Makalangilo kuzungumzia neno "kufulia" na ukawataja wazee kama kina Salim, Warioba, Butiku na Malecela, unakuwa huelewi unachozungumza. Kimsingi kutumia neno kufulia huna tofauti na kina Makamba na JK wanaotoa majibu mepesi kwa maswali magumu kwa kusema tu, "wana wivu, chuki, wahuni" bila kujibu HOJA kwa HOJA.

Nadhani kusema waliofulia, unathibitisha kwamba keki ya nchi inaliwa na wana Mtandao na wengine wana WIVU kwa kuwa hawaipati. Hapo ndipo patamu, MAISHA BORA KWA KILA MWANAMTANDAO.

KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Nilichosikia ni kuwa wanamsubiri mkulu ajibu ndo bomu lianze kuvimba. Bado kidogo eti kwa kuwa kinachowasumbua ni nani wa kuanza na pia nani msafi? Suala la usafi ndo tabu kwa kuwa lazima either kuna advantage kuwa pamoja kulinda maslahi binafsi au kutengwa kulipuliwa au ujiandae na maisha usiyoyazoea.

Kimsingi habari za ndani wanawasifu wale wafanyabiashara waliotenganisha siasa mapema na wale waliobeba vyote but they are smart.

Sidhani kama ni bahati mbaya wazee kususa sherehe za UHURU. Hata Ben?
 
Ukiangalia kauli ya 'HAKUNA ALIYE MSAFI' (nadhani haikutoka bila malengo) sio rahisi kwa yeyote kudhubutu kujitoa chama tawala na kuanza kurusha makombora kwa waliobaki.....sioni aliye tayari kujitoa mhanga.
Lakini CCM kugawanyika inaendelea kubaki ndoto tamu.
 
Sidhani kama ni bahati mbaya wazee kususa sherehe za UHURU. Hata Ben?

Wakihudhuria ama wakisusa inatusaidia nini kama Taifa? Rais Karume hakuhudhuria baadhi ya matukio ya kitaifa, kelele nyiiingi. Jana kahudhuria, sijui kama Taifa tumefaidika vipi na kuwepo kwake. Sasa naona tunaanza kutafuta ni nani kakosekana kwenye tukio hilo .... kwani imeandikwa wapi kwamba hao wanaotajwa ni lazima, lazima wahudhurie ....
 
Bora kwetu kikianzishwa.Kuwa CCM asili..mhhh hapo hakuna labda kiitwe CCM waliofulia na CCM halisi.

Naingalia CCM ya kina Butiku,Warioba na Salim kama mtandao mwingine ulioshindwa 2005 na unatamani kupambana na mtandao ulioshinda.BAdo mitandao ya Babu Malecela na wengine waliofulia lakini wanataka kurudi kwenye mamlaka.

Wote wana haki maana kikatiba,karibuni kwemye ulingo!
wacha waanzishe ccm asili tupate vuguvugu jipya kama ilivyokua kenya kulitokea ford kenya na ford asili,labda ccm asili wataweza kuwashughulikia mafisadi labda wanaweza kufanya kweli mafisadi wote wakapandishwa mahakamani;ngoja tuone yetu macho.
 
Afadhali iwe hivyo tumechoshwa ni hii sisiemu mafisadi. Hata hivyo kimtizamo makundi haya yameshajitenga na yako wazi kwa jamii ya watanzania. Kinachosubiriwa ni siku rasmi ya kutangaza. Kujitangaza huku kunategemea mambo makuu mawili hivi

(1) Ni nani atakaewekwa mstari wa mbele wa kuitangaza azma hiyo ikiwa ni pamoja na kumtangaza m/kiti wa muda.

(2) Msukomo zaidi kutoka kwa sisiemu mafisadi atakaohamasisha na kuhalalisha kujitenga/kuwatenga na jambo hili litawezekana kwa watu wenye kauli za maudhi na kishabiki mfano wa makamba.

Ni wazi kabisa kwamba kundi lile linalozaniwa la wafuata upepo(70 asilimia) ni la watu wa kawaida na lisilofahamu umuhimu wa rasilimali za nchi achilia mbali kuzishiriki. Kundi hili kama sii lote basi kwa wangi wao wapo na wanaunga mkono sisiemu asilia ukizingatia wanayatetea maslahi ya wanyonge na kuuthamini utu na haki ya utaifa wa wanyonge.
 
Back
Top Bottom