CCM & TLP zinaendelea kung'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East

Hii ni Utopian thinking.
Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.

you are very right brother, kuna mimtu inatumia mata k kufikiri, nchi yetu inaongoza kutoka nyuma kwa umaskini, tunajua sababu zilizotufanya kuwa hivi, ni uongozi mbaya na ovyo chini ya utawala wa ssm! bado inatetea ujinga na upuuzi wa kishenzi, watoto na wadogo zetu hawajui hatima ya maisha yao, nchi imeuzwa yote, viongozi wote wala rushwa kupindukia na hawaendelezi nchi, sheria zinapindishwa , jamani bado hamuoni tunaenda kupotea, mijinga yote inatetea magamba!
 
huyu alisema ccm yang'ara aishi Arumeru au mamluki.Sisi tunaoshi Arumeru ndio tunajua siri jana ccm walikuwa eneo la shangarai juu walifanya mkutano sehemu mbili ya kwanza wakaambulia watu wanne na ya pili waambuli watu saba kama ameona wengi wakuja na magari yao ya msafara lakini wananchi wengi hawakuwepo.hiyo ni kuwapa moyo wana ccm wanatengeneza mazingira.
 
Yale yale! kwani hata kama umelipwa kuandika hutumii hata akili na busara za kawaida tu. Tatizo la umamluki wa njaa unaweza kumwita mzazi wako kichaa ili upate elfu ya kunywa gongo. Mr emmy ni mfano wa namna hii. safari hii magamba wameingia kwenye 18 za CDM, hawachomoki hata wakiwatumia akina Profesa Steven Ngonyani.
 
We ni mwandishi wa habari za kimagamba magamba,kaombe kazi basi kwenye vijarida vyao na si kutujazia saver hapa!!
 
Sawaaa kusoma hatujui, inamaana hata Picha hatuoni?! Ule umati ktk front page ya Majira, MWANANCHI jana kwenye MKUTANO WA Dr. Slaa ilikuwa wapi? Huyo Tlp mwnyw alipokelewa na Bendera za CDM.
fisadi mdogo we!!
We hujui kwenye mikutano kunakuwa na watu tofautitofauti huwezi ku-judge ushindi kwa wingi wa watu kwenye mikutano ya kampeni wengine wanakwenda kama sehemu ya kupunguza stress wacheke wafurahi na mwisho wa siku wanajua wa kumchagua.Usihesabu vifaranga kabla ya mayai kutotolewa.Ongeza jitihada za kufikiri maana unaonekana ni mvivu.
 
Back
Top Bottom