CCM & TLP zinaendelea kung'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Chama cha mapinduzi (CCM) kimeendelea kung'ara na kuteka hisia za wananchi wa jimbo la Arumeru hali inayokipa wakati mgumu CHADEMA. Baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kukumbwa na shutuma za kifisadi hali ndani ya kamati kuu ya uongozi si nzuri na hiyo imesababisha Viongozi wa chama hicho kushindwa kupanga mikakati ya ushindi ya chama hicho na kuelekeza nguvu katika kujibu tuhuma ama kuficha uthibitisho wa tuhuma zinazowakabili.

Upepo wa kisiasa unaovuma jimboni arumeru unaweza kukifanya Chadema kupoteza mtaji wa kura ilizinazo kama CUF ilivyofanya kule Igunga. Aidha Chama cha TLP kinaendelea na kampeni zake vizuri na dalili zote zinaonekana kitashika nafasi ya pili wakati CCM kikishinda uchaguzi huo.
Updates
SAU wazindua kampeni kwa kishindo Arumeru east wazidi kupunguza nguvu ya upinzani
 
CDM mpinzani wao hakushiriki uchaguzi this time, we hukumbuki IGUNGA kampeni zilikuwa CDM dhidi ya CUF?
 
yani mgombea wa TLP alivochakaa yule Chipaka ndo ashinde?? ha ha..u cant be serious Mr Emmy
 
Chama cha mapinduzi (CCM) kimeendelea kung'ara na kuteka hisia za wananchi wa jimbo la Arumeru hali inayokipa wakati mgumu CHADEMA. Baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kukumbwa na shutuma za kifisadi hali ndani ya kamati kuu ya uongozi si nzuri na hiyo imesababisha Viongozi wa chama hicho kushindwa kupanga mikakati ya ushindi ya chama hicho na kuelekeza nguvu katika kujibu tuhuma ama kuficha uthibitisho wa tuhuma zinazowakabili.

Upepo wa kisiasa unaovuma jimboni arumeru unaweza kukifanya Chadema kupoteza mtaji wa kura ilizinazo kama CUF ilivyofanya kule Igunga. Aidha Chama cha TLP kinaendelea na kampeni zake vizuri na dalili zote zinaonekana kitashika nafasi ya pili wakati CCM kikishinda uchaguzi huo.

Uwezo wa akili yako ni sawa na punje ya Ulezi
 
Yaani hizo 5000 na 10000 mnazopewa ndizo zinawafanya muuze utu wenu kiasi hiki?
 
Join Date : 13th March 2012 naona umejiunga ili uipigie kampeni CCM hongera, humu watu wa Arumeru Mashariki wapo na wanasoma uongo wako, matokeo utayapata baada ya kura kuhesabiwa.
 
Kama kweli CCM sasa imefikia hatua ya kujilinganisha na TLP kwenye kampeini za Arumeru, basi CCM imekufa imebaki kuzikwa. Yaani CCM sasa hivi saizi yenu ni TLP?!, sikujua kwamba hili li-CCM litakufa mapema kiasi hiki!
 
Chama cha mapinduzi (CCM) kimeendelea kung'ara na kuteka hisia za wananchi wa jimbo la Arumeru hali inayokipa wakati mgumu CHADEMA. Baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kukumbwa na shutuma za kifisadi hali ndani ya kamati kuu ya uongozi si nzuri na hiyo imesababisha Viongozi wa chama hicho kushindwa kupanga mikakati ya ushindi ya chama hicho na kuelekeza nguvu katika kujibu tuhuma ama kuficha uthibitisho wa tuhuma zinazowakabili.

Upepo wa kisiasa unaovuma jimboni arumeru unaweza kukifanya Chadema kupoteza mtaji wa kura ilizinazo kama CUF ilivyofanya kule Igunga. Aidha Chama cha TLP kinaendelea na kampeni zake vizuri na dalili zote zinaonekana kitashika nafasi ya pili wakati CCM kikishinda uchaguzi huo.

Sasa SecondID Hapa ndio mawazo yako yalikofika kabisa kaka yetu?
maana tunakutegemea utoe michango ambayo itasaidia kuleta
mabadiliko chanya kidogo.Aksante secondID
 
Mr emmy!ibara ya 18 ya katiba ya muungano inakupa uhuru wa kutoa maoni na kueleza fikra zako..na mimi basi nikitumia haki hiyo hiyo ya kikatiba ya kutoa maon na kueleza fikra zangu nakwambia tusubiri april natujue coz swala la nani atakuwa mbunge wa arumeru washarik ilo liko mikononi mwa wapiga kura..so unakosea unapo conclude eti ccm watashinda,TLPwapili na chadema wa tatu.
 
Huyu jamaa ni mwongo sana, mimi nimetoka jana huko kwetu arumeru, kiukweli ccm wana hali mbaya sana, hata kule mbuguni walipokua wakipategemea sana hasa kutokana na misaada toka mirerani kwa akina nyari na ole sendeka napo tumaini linakufa. Kinachoigharimu zaidi ccm mbali na uwepo wa Makumira university na arusha university, ukiunganisha na vyuo kama tengeru na Patandi, wakazi wengi wa arumeru mashariki ni waelewa, kama mjuavyo sehemu kubwa ya wakazi wa mijini hapa tz hawaipendi ccm, na ukiangalia vema utagundua sehemu kubwa ya arumeru mashariki ni urbanized. Usa, kikatiti, mbuguni, tengeru, leganga, na maeneo mengi kama ngarasero. Ama hakika ccm ilizaliwa 2/5/1977 dar es salaam, ilikufa 10/3/2012 na itazikwa rasmi 01/04/2012 pale Usa river, Mungu ailaze roho yake mahali pema ili watu waikumbuke vizuri. Amen
 
Mleta hii mada kakosea jukwaa badala ya kupost kule Jf-chat, yeye kapost humu kwa wenye akili timamu enewei basi 2jadili 2 ili tumtie moyo koz ndo kajiunga juzi juzi 2 humu Jf pia ndo anajifunza kutumia keyboard ya laptop ya mkwe wake imeachwa sebuleni kwani mchzi yupo ukweni huyo.
 
Chama cha mapinduzi (CCM) kimeendelea kung'ara na kuteka hisia za wananchi wa jimbo la Arumeru hali inayokipa wakati mgumu CHADEMA. Baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kukumbwa na shutuma za kifisadi hali ndani ya kamati kuu ya uongozi si nzuri na hiyo imesababisha Viongozi wa chama hicho kushindwa kupanga mikakati ya ushindi ya chama hicho na kuelekeza nguvu katika kujibu tuhuma ama kuficha uthibitisho wa tuhuma zinazowakabili.

Upepo wa kisiasa unaovuma jimboni arumeru unaweza kukifanya Chadema kupoteza mtaji wa kura ilizinazo kama CUF ilivyofanya kule Igunga. Aidha Chama cha TLP kinaendelea na kampeni zake vizuri na dalili zote zinaonekana kitashika nafasi ya pili wakati CCM kikishinda uchaguzi huo.

Sawaaa kusoma hatujui, inamaana hata Picha hatuoni?! Ule umati ktk front page ya Majira, MWANANCHI jana kwenye MKUTANO WA Dr. Slaa ilikuwa wapi? Huyo Tlp mwnyw alipokelewa na Bendera za CDM.
fisadi mdogo we!!
 
Chama cha mapinduzi (CCM) kimeendelea kung'ara na kuteka hisia za wananchi wa jimbo la Arumeru hali inayokipa wakati mgumu CHADEMA. Baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kukumbwa na shutuma za kifisadi hali ndani ya kamati kuu ya uongozi si nzuri na hiyo imesababisha Viongozi wa chama hicho kushindwa kupanga mikakati ya ushindi ya chama hicho na kuelekeza nguvu katika kujibu tuhuma ama kuficha uthibitisho wa tuhuma zinazowakabili.

Upepo wa kisiasa unaovuma jimboni arumeru unaweza kukifanya Chadema kupoteza mtaji wa kura ilizinazo kama CUF ilivyofanya kule Igunga. Aidha Chama cha TLP kinaendelea na kampeni zake vizuri na dalili zote zinaonekana kitashika nafasi ya pili wakati CCM kikishinda uchaguzi huo.

Nape!!

Yaani siku hizi badala ya kufanya kazi unakaa na kuanza kutunga story za propaganda JF............ Kwa design uliyokuja nayo utajishushia hadhi zaidi. Tatizo la CCM sasa imeishiwa wasomi na imebakiwa na wapiga debe wachache na watoto wa vigogo!!
 
Chama cha mapinduzi (CCM) kimeendelea kung'ara na kuteka hisia za wananchi wa jimbo la Arumeru hali inayokipa wakati mgumu CHADEMA. Baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kukumbwa na shutuma za kifisadi hali ndani ya kamati kuu ya uongozi si nzuri na hiyo imesababisha Viongozi wa chama hicho kushindwa kupanga mikakati ya ushindi ya chama hicho na kuelekeza nguvu katika kujibu tuhuma ama kuficha uthibitisho wa tuhuma zinazowakabili.

Upepo wa kisiasa unaovuma jimboni arumeru unaweza kukifanya Chadema kupoteza mtaji wa kura ilizinazo kama CUF ilivyofanya kule Igunga. Aidha Chama cha TLP kinaendelea na kampeni zake vizuri na dalili zote zinaonekana kitashika nafasi ya pili wakati CCM kikishinda uchaguzi huo.

Akili zako kweli fupi kama ulivyo wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom