CCM: Timu iliyo waacha zidane na ronaldinho...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,847
Ukiangalia walioitishwa kuwania ubunge
na wengine watakao kuwa mawaziri
kuna watu wawili kwenye masuala ya uchumi na fedha nchini

nikama zidane na ronaldinho but ccm kama kawaida yao wamewaacha na kubeba
wauza viungo vya albino na profesa maji marefu.....

Wa kwanza ni prof samuel wangwe alie jaribu kugombea kawe....

Tanzania hii hakuna mtaalamu wa uchumi wa kiwango chake....
Kafanya research zilizopelekea
serikali kuanzisha mkurabita na mkumbita na
mipango mingine tele...

Yeye ni perfect guy kuwepo kwenye team ya uchumi ya taifa itakayopanga bajet na kadhalika.....

Wa pili ni dk hamisi kibola aliejaribu gombea arusha mjini....

Yeye ndie the brain behind kuanzishwa kwa daresaala stock exchange
na utt ambato mifuko yake now ina karibu zaidi ya half a billion dollar
za kuwekeza kutoka kwa wananchi......

Halafu off course kuna arnold kileo ambaye cv yake ni ya kutisha mno

kwenye masuala ya viwanda na fedha..........

Alikuwa tbl wakati tbl ilipokuwa ndio kampuni inayotoa kodi nyingi kuliko zote tanzania......

Juzi alikuwa benki ya stanbinc wakati mkulo alipokwenda kukopa
kujazia bajeti.....
Actually kileo ameiotoa stanbic kutoka kwenye hasara

mpaka kuweza kuikopesha serikali pesa ya bajeti.....

Yaani ni kama zidane,kaka na ronaldinho ambao hawajaitwa timu ya taifa....

Wameitwa akina mkulo,dialo na wengineo ambao ni vichekesho ulitazama tu cv............
 
mshauri wa uchumi na fedha wa kikwete ni nani???????????au makamba???????????
 
Mimi nilifurahi sana niliposikia kuwa Prof. Wangwe ametoswa. Ninamheshimu sana na nathamini mchango wake hasa kwenye masuala ya uchumi na ninaamini kuwa ataisaidia nchi zaidi akibaki kuwa mtafiti gwiji wa uchumi na mshauri wa masuala ya kiuchumi. Akiingia bungeni baada ya muda mfupi hatatofautiana na maprofesa na madokta wengine wa kisiasa. Hatutaki Prof. Sarungi mwingine bungeni.
 
Ukiwa na wagombea kama
1 prof. Maji marefu
2 muuwaji wa albino
3. Endraw chenge- vijicenti
4. Basli mramba - mtuhumiwa
na wengine wengi utaruhusu mdahalo au utasubili kuiba kura? Ujasili wa ccm kusimamisha wagombea wtuhumiwa wamepata wapi? Wanajiamini mabingwa wa kuchakachua hao. Akili kichwani.
 
Back
Top Bottom