Elections 2010 CCM "Tarumbeta" VS CHADEMA "Vuvuzela"

TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,616
1,167
Naona kijani na njano hapo chini barabarani, Ohio Street. Sijui ndio mafisadi wanatafuta nini!
 
Naona kijani na njano hapo chini barabarani, Ohio Street. Sijui ndio mafisadi wanatafuta nini!


kikwetemama.jpg
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, leo katika jiji la Dar es Salaam wananchi wanashuhudia mbwembwe za urudishwaji wa form za wagombea ambapo CCM wanyo staili ya wapiga Tarumbeta na pikipiki huku kwa upande mwingine Chadema wanao wapiga Vuvuzela na vibajaji.

Kampeni ndio ziko mbioni. Je, Vuvuzela na Bajaji zitamkomboa Mtanzania?:eyebrows:
 
safi sana! chadema twende twende hakuna kurudi nyuma! Teh teh, tunaomba mtupe laivu hii ngoma kwenye jamii forums!
 
... smile to the fools... and wave once... you definitely will steal more from them!!:playball:
 
jamani mwacheni mheshimiwa afaidi au mnamuonea wivu??????
wivu sina ila roho inauma aa aaa.......
mwacheni bwana alibaniwa sana enzi zile za ticha..........
sasa nchi kakamata na wajinga ndio waliwao yaani wajinga ni watz.....
... smile to the fools... and wave once... you definitely will steal more from them!!:playball:
 
Maskini wana-CCM! Bila shaka wengi wao wamekusanywa kwa kuamshwa saa 11 alfajiri na kuchukuliwa na malori kutoka vitongojini kuletwa CCM Lumumba! Kazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom