CCM Taifa Ikemee Vijana wake, Vinginevyo...

WakuBalance

Joining date: sund Jan 2011
Posts: 15
Thanks 0

Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep power: 0

Brain: 0
Education: 0

ushauri: kama una access ya internet zipo web nyingi nzuri za kujiongezea elimu na maarifa, au nenda kule facebook ndipo hata mkwere alipo unaweza ukapiga soga zako kule.
 
UVCCM wako sahihi kabisa! Kwani hawaja msingizia jambo lolote Dr wa Phd ya ukweli nashangaa mapovu yanvyo watoka midomoni humu JF! Imewauma sana! Hongera UVCCM kwa Tamko lenu! Alta Continuaaa!
Sasa hapo umebalance nini mwizi wewe... Dr Slaa hajawahi kufumaniwa ndo maana yuko na mchumba wake hadharani... Dr Slaa ana akili timamu kuliko JK anayeanguka anguka na ambaye ndio boss wao hao vijana wahuni.... Unaelewa maana ya kusingizia wewe nyang'au???
 
With UVCCM i doubt it kama wanaweza ni ndoto

yaani kitakachotokea ni kusambaratika kwa ccm kwa kasi zaidi kuliko mchakato ulioanzishwa na chadema. vijana wengi walio UVCCM ni watoto wa vigogo wa ccm walioshika madaraka sehemu na ngazi mbalimbali hapa tz.

nachojaribu kufikiri ni kwamba inawezekana kuna baadhi ya vigogo wa ccm wanaodhani wanaweza kuitumia UVCC kufanya mabadiliko kama yale ya south africa ili wao wabakie kwenye ulaji.

nadhani sasa hivi kuna vigogo wa ccm ambao wana hofu kwamba ccm ikisambaratika watapoteza nafasi zao for good lakini maslahi na biashara zao zinaweza kutaifishwa na vizazi vyao vikaja kuishi katika ufukara

ni kundi hili ndilo linaloweza kuwa limepitia UVCC kwa kuwa ama ni mapema mno kupitia Chadema au kwa ufisadi wao, hawatakubalika chadema. hivyo wanataka kuigiza mabadiliko na mapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi lengo likiwa ni kuhifadhi nafasi na maslahi yao ya kifisadi kwao na vizazi vyao vijavyo.
 
Hata kama walitaka kuueleza umma jambo juu ya Dr. Slaa, hii si namna sahihi ya kufanya hivyo.Lugha kama hii si nzuri na hata mimi napata mashaka na akili zao hao vijana. Nidhamu kwa wazee wetu/watu wanaotuzidi imekwenda wapi miaka hii? Lakini tukumbuke pia kuwa aina hii hii ya maneno imekuwa ikitumika wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana na baadhi ya wakuu wa CCM na nahisi labda ndo mwendelezo ule ule lakini safari hii wakiamua kuwatumia vijana wao. Nadhani vijana hawa (na waliowatuma kama wapo) ndo ilitakiwa wawe wa kwanza kupelekwa huko Milembe kwa ajili ya kupimwa akili zao kwani katika hali ya kawaida, na kwa utamaduni wetu wa kitanzania, huwezi kutoa matusi kama haya kwa mtu anayekuzidi umri.
 
Nafikiri kuna mengine mengi tu UVCCM waliyotamka kwa faida ya wananchi....lakini eehe JF akisemwa vibaya Dr Slaa basi watu hawaoni tena.

May be in this post you will get time to console each other..lakini binafsi sitomuunga mkono Slaa wala Kikwete kama mtu anayeweza kuongoza taifa hili. Ushabiki wa vyama vya siasa sio mtazamo wangu
 
Do you mean UVCCM is about to do the same? Maybe in 100 yrs!

chochote kinawezekana mkuu, ukizingatia kwamba UVCCM ni kipaza sauti cha vigogo wa ccm. mimi nakubaliana na wanaoamini kwamba UVCCM siyo independent of wazazi wao kwa kuwa almost wote ni watoto wa vigogo wa ccm. kama kweli hawako independent, then hilo walilotoa jana siyo tamko lililotokana na utashi na msimamo wao.

usisahau maneno ya Mwl Nyerere kuhusu namna ambavyo ccm inaweza kufa?
 
Kama mtu ambaye nimemuunga mkono Dr. Slaa na kuamini kuwa ni mtu aliyepaswa na anayestahili kupewa nafasi ya kuliongoza taifa nimeshtushwa na kusikitisha na tamko la UVCCM hususan mashambulizi yao ya mtu - ad hominem thidi ya Dr. Slaa. Ninawasihi viongozi wa CCM Taifa kukemea na kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya kundi hilo la viongozi wa vijana.

Kutokuchukua hatua mara moja na kukaa kimya binafsi naamini iwakuwa ni halali kuamini kuwa uongozi wa taifa wa CCM umetoa baraka zake. Which brings me to my observation: it won't be pretty! Yatakapoanza kuporomoshwa matusi na mambo mengine dhidi ya viongozi wa CCM wa kitaifa isije kuoneekana "ni kuvunja heshima, kuchochea, matumizi mabaya ya vyombo vya habari" na upuuzi wa kawaida tuliouzoea.

Maana naamini walichofanya UVCCM kimewapa watu wengine haki ya kuwatukana na kuwasema viongozi wa taifa wa CCM katika masuala yao binafsi. That will be a tragedy.

Ukiniuliza mimi CCM (T) hawana zaidi ya masaa ishirini na nne ya kutoa kauli ya kinidhamu dhidi ya vijana wao.

MMM wenzetu husema "Like father like son". Maneno waliyoyatoa ndiyo wazazi wao wanayoyatoa so ni muendelezo wa jadi ambayo watoto wamerithi kutoka kwa baba. Ndivyo walivyofundishwa

Kuhusu kwa wakubwa kuwakemea vijana wao sidhani kama inawezekana na hata watakapowakemea vijana wataona wazee wanawatania maana wanaenda kinyume na walivyowafundisha na kuwakuza

Nadhani kilichopo sasa ni sasa wanajamii tuwakemee wazazi waliowalea vibaya watoto hawa

ni kweli mm lakini viongozi wa ccm taifa sidhani kama wana upeo huo wao wanachoona ni slaa mbaya wao wakati wana sahau kwamba wanachi wengi wamesahchoka na siasa za kudanganywa
 
uvccm wao ni mapumbavu pili ni wsen..... mana awajui walisemaro mana kuna mwisho wao awajui walisemaro kumbuka hitler na msolini na tunisia tutawanyosha siku moja
 
Hao vijana wa CCM wanafanana na baba zao (JK, Makamba and the like) kwa hiyo huwezi kuwategemea wawe na busara yoyote. Kutegemea kuwa UVCCM wanaweza kutoa tamko la maana kwenye issues serious za kitaifa ni sawa ni kutegemea nguruwe azae mbuzi. As for me, they have met my expectation. I am not expecting anything useful from these bogus youngmen. Hakuna kijana mwenye akili hata ya wastani anayeweza kuwa ndani ya UVCCM. Hawa ni watumwa wa njaa na wako tayari kufanya mambo ya kipuuzi kuwafurahisha bwana zao
 
Hapana.. kama CCM Taifa hawatachukua hatua yoyote dhidi ya viongozi hawa wa vijana ambao naamini wamevunja maadili ya uongozi wa CCM (I know I know) na vile vile nadhani wamevunja miiko ya uongozi basi ni wazi kuwa tamko lao limepata baraka toka juu. Kama hili ni kweli basi siku zinazokuja zitakuwa ni za aibu sana kwa uongozi wa taifa letu.
That is how sisiem operates . Tambwe ameshindwa na propaganda zake, sasa wamehamia vijana kufikisha propaganga. Mpaka pataeleweka tu.
 
Ni kama Hadith ya Mfalme Juha,
Hawa CCM Wanafikiri kuwa Tanzania ni mali yao peke yao? Akitokea mtu ambaye Umma unamkubali wanafikiri kuwa ni adui yao, Wanasahau kuwa Wote tuna jaki sawa.Kuwepo kwao madarakani kuna mwisho tu, Hakuna jambo baya lisilo na Mwisho.Hao UVCCM tunawajua, hiyo ni ngazi tu inayogombewa kutumiwa na wana-CCM Kukweya katika kilele cha Kutafuta Madaraka, Hakuna hata siku moja UVCCM Imekuwa Huru, kwa saSa lazima kuna KIGOGO Wamemkumbatia, Ni muda tu tutajua rangi yao Halisi.
 
Kama mtu ambaye nimemuunga mkono Dr. Slaa na kuamini kuwa ni mtu aliyepaswa na anayestahili kupewa nafasi ya kuliongoza taifa nimeshtushwa na kusikitisha na tamko la UVCCM hususan mashambulizi yao ya mtu - ad hominem thidi ya Dr. Slaa. Ninawasihi viongozi wa CCM Taifa kukemea na kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya kundi hilo la viongozi wa vijana.

Kutokuchukua hatua mara moja na kukaa kimya binafsi naamini iwakuwa ni halali kuamini kuwa uongozi wa taifa wa CCM umetoa baraka zake. Which brings me to my observation: it won't be pretty! Yatakapoanza kuporomoshwa matusi na mambo mengine dhidi ya viongozi wa CCM wa kitaifa isije kuoneekana "ni kuvunja heshima, kuchochea, matumizi mabaya ya vyombo vya habari" na upuuzi wa kawaida tuliouzoea.

Maana naamini walichofanya UVCCM kimewapa watu wengine haki ya kuwatukana na kuwasema viongozi wa taifa wa CCM katika masuala yao binafsi. That will be a tragedy.

Ukiniuliza mimi CCM (T) hawana zaidi ya masaa ishirini na nne ya kutoa kauli ya kinidhamu dhidi ya vijana wao.

In the presence of such a deliberate, heinous, derogatory, sarcastic, inhumane, defamatory, cowardice, unacceptable and unwarranted statement by UVCCM - with the consent of their top-craps...It's is an insult to accept any from of apology from CCM. It will be like endorsing hypocricy.
 
Dr. Slaa ni mtu mzima na heshima zake, kumtukana mtu kama yule tena waliofanya hivyo ni vijana ambao yule ni sawa na baba yao nasema hawakutenda haki na heshima kwa Dr. Slaa maana yule ni kama Baba yao, mambo ya kisiasa yasisababishe mtu avunjiwe heshima yake. Nawashauri waombe radhi kwa kosa hilo vinginevyo namshauri Dr. Slaa aende mahakamani kuomba fidia ya kudhalalishwa.
 
I'm very serious; kuna msemo wa kiingereza kuwa "all is fair in love and war".. na UVCCM wamethibitisha hilo. Tatizo ni kuwa kikaango kitakapogeuzwa kwa upande mwingine patakuwa pachungu kweli.

Inakuaje hawa watu wanao jiita uvccm wanatumia lugha ya matusi kumtukana Dr slaa(Phd)?wanasema apelekwe milembe,ni muhuni,alikua padre,haya yote yanatoka wapi?mara alipelekwa mahakamani kwa sababu alichukua mke wa mtu,sasa hiyo kesi leo hii ipo wapi?uvccm wanataka nini kutoka kwa dr slaa?uvccm wanaitakia nini hii nchi?
 
Inashangaza kuona hawa vijeba (UVCCM) kutoa matamko yanayofanana na mtu anayeharisha choo cha stendi kuomba kopo la maji. Fikiria
1. Wanadai baraza la mawaziri linagongana, chanzo Dowans. They move futher to suggest kuwa sitta na mwakyembe wapigwe chini (by implication.
2. Pili wanadai Dowans isilipwe vinginevyo watahitisha maandamano. My question, ni kitu gani wanatetea wakati hao hao wanaotetea Dowans isilipwe na Serikali ya kifisadi ya kikwete wanawapinga. Hivi hawa vijana wana akili kweli.
3. Wanashindwa kutoa tamko dhi ya EPA, IPTL, DEEP GREEN, Kiwira, RADA, Ndege ya rais, ATCL, mfumuko wa bei, uchakachuaji wa kura, mauaji ya raia yanayofanywa na kikwete under what he calls 'police' mauaji ya arusha, matamko ya kishetwani ya baadhi ya watu wachache wanojiita "Jopo la mashehe', nk, mazimwi yanayotishia ustawi wa jamii yetu.
My take
James Ole Millya, Beno Malisa, Kawawa; hawa ni CRAP who are synergized by Lowasa na rafiki Zake J.K na RA. Ukiangalia kwa undani utagundua hili kundi la wahuni limetumwa na hawa jamaa na kupewa hadidu za rejea. Refer maneno yao "Tunaitaka Serikali kuwataja rasmi wamiliki wa Richmond ili ijulikane kipi ni kipi na hoja hii irudi bungeni ili Watanzania wajue nani aliifikisha Serikali hapa ilipo, kama ni Tume ya Mwakyembe (Dk. Harrison-aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Bunge iliyoundwa kuchunguza sakata hilo wakati ule, sasa Naibu Waziri wa Miundombinu) ililidanganya taifa, iwajibike na kama ni serikali basi imtaje mmiliki, ili yeye alipe pesa hizo na si wananchi," alisema Millya. Millya alisema wanayotaarifa kuwa sakata hilo lilianzia bungeni na hatimaye Tume (ya Mwakyembe) ilitoa ripoti kuwa Richmond ni kampuni hewa na wamiliki wake halali hawajulikani" (Source; Habari leo, 21,Jan 2011). wanashindwa kufahamu kuw ahii kamati ilikuwa ya bunga na si si mwakyembe kama wanavyotaka ifike kwetu. Mimi nadhani hii hoja ikifika bungeni kikwete antangoka madarakani. Mwakyembe atatumia hii fusra kusema na kutaja yake waliyosema wametunza ili kuinusuru serikali isianguke; ambayo obviously ni kuhusika kwa jk kwenye sakata hili la kifisadi.
 
Kama mtu ambaye nimemuunga mkono Dr. Slaa na kuamini kuwa ni mtu aliyepaswa na anayestahili kupewa nafasi ya kuliongoza taifa nimeshtushwa na kusikitisha na tamko la UVCCM hususan mashambulizi yao ya mtu - ad hominem thidi ya Dr. Slaa. Ninawasihi viongozi wa CCM Taifa kukemea na kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya kundi hilo la viongozi wa vijana.

Kutokuchukua hatua mara moja na kukaa kimya binafsi naamini iwakuwa ni halali kuamini kuwa uongozi wa taifa wa CCM umetoa baraka zake. Which brings me to my observation: it won't be pretty! Yatakapoanza kuporomoshwa matusi na mambo mengine dhidi ya viongozi wa CCM wa kitaifa isije kuoneekana "ni kuvunja heshima, kuchochea, matumizi mabaya ya vyombo vya habari" na upuuzi wa kawaida tuliouzoea.

Maana naamini walichofanya UVCCM kimewapa watu wengine haki ya kuwatukana na kuwasema viongozi wa taifa wa CCM katika masuala yao binafsi. That will be a tragedy.

Ukiniuliza mimi CCM (T) hawana zaidi ya masaa ishirini na nne ya kutoa kauli ya kinidhamu dhidi ya vijana wao.
KAKA!!!!! ukweli ukielekezwa kwa SLAA hugeuka na munayaita kuwa matusi, na matusi yakielekezwa kwa JAKAYA huwa mnageuka na kuyaita UKWELI.
kama ushabiki unaweza kucorrupt hata bongo zenye busara kama we mwanakijiji,,,,, kweli kazi tunayo..
 
Back
Top Bottom