CCM:Tahadhari!!!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,256
Chama changu cha Mapinduzi, sasa umefikia wakati sina nguvu ya kukutetea.
Matukio yanayoendelea sasa hivi ni kama mchezo wa kuigiza.
Nilikutetea sana na dhana ya kuvua gamba, kwa kifua mbele.
Nilikutetea sana kwa suala la posho, ingawaje kwa shingo upande
Hili la kuwatetea tena na tena kundi la RA,AC na EL linaanza kuniondolea uzalendo.
Mbaya zaidi ni la kutomchukulia hatua Chenge na rushwa ya RADA.
Kwa kifupi CCM sikuelewi.
 
Lole Gwakisa usichoke
tuendelee kujitolea kukitetea chama chetu CCM
mimi ni mCCM sana na napenda sana kuzisoma posts zako.
Ni kweli watendaji wa chama wanatupa wakati mgumu kutembea kifua mbele.
Tafadhali usichoke.
 
how on hell did you trust these people??
 
Lole Gwakisa,
I am sick and tired of this Drama practiced by the so called ccm pro NAPE NNAUYE,kuhusu mafisadi.
I dont know to this very crucial time this pro is still Argumentative and nothing new actions have been taken against mafisadis.

kwa kweli hawa viongozi wa ngazi za juu wa chama wanawapa wakati mgumu sana wanachama wao kujiamini wanapokuwa mitaani na hasa katika mijadala ya kisiasa..
 
Kaka kaa pembeni rusha jiwe liwapate walioko huko ambao wakati sisi tumekimbia wao kuna maslahi wanayapata huko na
wanatetea kitu ambacho kiko wazi mno.Ndio maana tunataka alternative yaani nguvu ya umma utoe maamuzi tu
 
Kwa kweli chelewa chelewa hii inazidi kuiangamiza CCM na sijui kama wakubwa wa chama wanaliona hili. Halafu unajiuliza, kama hawakuwa tayari kwa nini walilianzisha halafu sasa linageuka kuwa deni na mzigo kwao?
 
Lole Gwakisa usichoke
tuendelee kujitolea kukitetea chama chetu CCM
mimi ni mCCM sana na napenda sana kuzisoma posts zako.
Ni kweli watendaji wa chama wanatupa wakati mgumu kutembea kifua mbele.
Tafadhali usichoke.
Kama CCM wanataka tupite mitaani kifua mbele basi waamue kutekeleza maamuzi kama yalivyoamuliwa na chama,
Kwanza kuwavua uongozi mafisadi ndani ya chama,kumchukulia hatua mwizi huwezi husubiri kikao na ukaeleweka
Pili wale wenye tuhuma kama Chenge, tuhuma zilizo wazi kabisa, wapelekwe mahakamani ili wajitetee kama kusafishwa wassfishwe na hekumu ya mahakama.
Tatu, CCM yangu unampa umaarufu wa bure nduguyo CDM, kwani sasa ndio anakuwa mtetezi wa haki na wanyonge.
Tumetoka mbali CCM
 
Nape asilaumiwe kwa hili. yeye alidhania Mwenyekiti wake alikuwa anamaanisha kumbe sivyo. Chukulia mfano: Dowans kwenye Symbion ni vipi JK ameshiriki au Serikali yake imeshiriki.
 
Kaka kaa pembeni rusha jiwe liwapate walioko huko ambao wakati sisi tumekimbia wao kuna maslahi wanayapata huko na
wanatetea kitu ambacho kiko wazi mno.Ndio maana tunataka alternative yaani nguvu ya umma utoe maamuzi tu
Kama hata magwiji wanakata tamaa sijui mwisho wake nini.
 
mkuu angalia usije kutwa na ngozi kwani karibia kunapamb:mod:azukawezi wenyewe wanaanza kukusanya vyao..
 
Chama changu cha Mapinduzi, sasa umefikia wakati sina nguvu ya kukutetea.
Matukio yanayoendelea sasa hivi ni kama mchezo wa kuigiza.
Nilikutetea sana na dhana ya kuvua gamba, kwa kifua mbele.
Nilikutetea sana kwa suala la posho, ingawaje kwa shingo upande
Hili la kuwatetea tena na tena kundi la RA,AC na EL linaanza kuniondolea uzalendo.
Mbaya zaidi ni la kutomchukulia hatua Chenge na rushwa ya RADA.
Kwa kifupi CCM sikuelewi.

Hell no! kuamini kwamba CCM itabadilika ni sawa na kuamini Tanzania itanyakua kombe la wo
 
Gwakisa, umesema kweli, maana kuna hata hoja nyingine tukitupiwa tunashindwa kuzipangua.

Oooh, CCM tusaidieni sisi watu wenu tunabananishwa na hizi tuhuma, ingawa bado tunakupenda lakini mhhh
Kuna siku tutashikana mashati wenyewe, mmezidi sasa.

Nape, porojo zimekuwa nyingi mwa mbie mkubwa Mukama na Kikwete, wafanye kitu ili tuweze kujibu haya matuhuma,
Kweli tuko kwenye wakati mgumu sasa, ahsante mtoa hoja.

Namimi nimevua gamba!
 
Gwakisa, umesema kweli, maana kuna hata hoja nyingine tukitupiwa tunashindwa kuzipangua.
Oooh, CCM tusaidieni sisi watu wenu tunabananishwa na hizi tuhuma, ingawa bado tunakupenda lakini mhhh
Kuna siku tutashikana mashati wenyewe, mmezidi sasa
Nape, porojo zimekuwa nyingi mwa mbie mkubwa Mukama na Kikwete, wafanye kitu ili tuweze kujibu haya matuhuma,
Kweli tuko kwenye wakati mgumu sasa, ahsante mtoa hoja,
Namimi nimevua gamba!
Kweli kabisa mkuu , tumegeuka kuwa a laughing stock.
Kuwa mwanachama wa CCM siku hizi inataka moyo.
Hoja za kuitetea zinazidi kuyoyoma.
 
Hongera Lole nchi kwanza chama baadaye nafurahi umeliona hilo na umeamua kutoa ushauri labda Chenge atafikishwa mahakamani
 
Suala la Chenge, hao wazee wa CCM wasifanye makosa, kwa CDM hilo goli la uhakika.
Hata mimi kuandamana ni no sweat.
 
Kama CCM wanataka tupite mitaani kifua mbele basi waamue kutekeleza maamuzi kama yalivyoamuliwa na chama,
Kwanza kuwavua uongozi mafisadi ndani ya chama,kumchukulia hatua mwizi huwezi husubiri kikao na ukaeleweka
Pili wale wenye tuhuma kama Chenge, tuhuma zilizo wazi kabisa, wapelekwe mahakamani ili wajitetee kama kusafishwa wassfishwe na hekumu ya mahakama.
Tatu, CCM yangu unampa umaarufu wa bure nduguyo CDM, kwani sasa ndio anakuwa mtetezi wa haki na wanyonge.
Tumetoka mbali CCM

Wishful Thinking!
 
Pole Lole.

Nadhani hujui kupenda. Walisema wahenga "Akipenda chongo huita kengeza".

Wewe leo chongo wakiita kwa jina lake, kuna kupenda tena hapo? Wa kule mwambao kaskazini ya Dar walikwimba "Akukataae hakwambii toka". Bila shaka uzalendo wa kichama umeanza kukulemea kama si kukushinda kabisa. Wewe ukidhani unapenda na huku unaona chongo ni chongo kweli... ajabu! Maumivu ya kichwa yanaanza taratibu, usipowahi... shauri lako.

Lakuvunda halina ubani!. Kumeza na kutema (makohozi) kunategemea aliyekohoa. Nakushauri endelea kuamua kusuka kwani ukisuka unaweza kubadili mawazo na kunyoa wakati wowote. Lakini punde ukinyoa shurti usubiri nywele ziote ndipo waweza kubadili mawazo na kusuka tena.

Vumilia Lole. Mvumilivu hula mbivu, potelea mbali hata kama atakapozifunua zitakuwa mbovu.

Chama changu cha Mapinduzi, sasa umefikia wakati sina nguvu ya kukutetea.
Matukio yanayoendelea sasa hivi ni kama mchezo wa kuigiza.
Nilikutetea sana na dhana ya kuvua gamba, kwa kifua mbele.
Nilikutetea sana kwa suala la posho, ingawaje kwa shingo upande
Hili la kuwatetea tena na tena kundi la RA,AC na EL linaanza kuniondolea uzalendo.
Mbaya zaidi ni la kutomchukulia hatua Chenge na rushwa ya RADA.
Kwa kifupi CCM sikuelewi.
 
"...If crime fighters fight crime and fire fighters fight fire, what do freedom fighters fight?"

Similar Discussions

Back
Top Bottom