CCM sasa wakome kuteua wagombe Urais kutoka familia zenye njaa kali

hii itaepusha kuwa na Rais mwenye njaa anayeigeuza Ikulu yetu kuwa pango la walanguzi wa kihindi na kiarabu.

vinginevyo chadema tutachukua nchi soon.

nawasilisha.
Mkuu.
Unakusudia kuwa CHADEMA hawataki CCM waondoke Ikulu?
Unawakatisha tamaa wapenzi wa CHADEMA. Unaonesha kuwa hupendelei CCM waondoke madarakani.
Mkuu nenda kwa Makamba akupe kadi uhamie rasmi huko.Unawapigia CCM kampeni hata "2012" haijafika..ikifika 2015 utawambiaje wanaJF?
 
Back
Top Bottom