KIGOMA KWETU
Member
- Apr 23, 2012
- 97
- 11
yamsebo na heche ndo wakulima gani
HECHE ndio kitu gani?
Napenda kumtahadharisha Bwana Madelu kuwa Sumbawanga sio Igunga wala Ndago,jaribio lolote la kuwadhuru makamanda wetu litamaanisha yeye kupoteza uwezo wake kama mwanamume,kwa hili namaanisha na wala sio vitisho!
Dawa ya ugonjwa anaoumwa Shigela.HECHE ndio kitu gani?
Unataka ya bei gani?Nasikia huko Sumbawanga radi zinauzwa kwa kilo, kilo kumi buku
Mtoto akililia uwembe mpe.Yakimkuta ndio atajua dunia inazunguka kuelekea wapi.Napenda kumtahadharisha Bwana Madelu kuwa Sumbawanga sio Igunga wala Ndago,jaribio lolote la kuwadhuru makamanda wetu litamaanisha yeye kupoteza uwezo wake kama mwanamume,kwa hili namaanisha na wala sio vitisho!
Huyu Yamsebo ndo namsikia leo ana cheo gani cdm.
HECHE ndio kitu gani?
yamsebo na heche ndo wakulima gani
ndugu wanajamvi katika hali inayoashiria chama tawala kuanza kukoswa uvumilivu wa kidemokrasia na kuvumilia mitupo ya CHADEMA hapa rukwa eneo la MAZWI SOKONI vilifanyika vikao vya siri nzito baada ya shamra shamra kuanza mitaani na tetesi mbali mbali za wanachama na wapenzi wa CHADEMA kuanza kuandaa mapokezi ya mh NORBET YAMSEBO, ambaye inasemekana anaingia hapa leo akitokea DAR ES SALAAM ikawa ni kero kwa wanaccm ikaja taarifa ya pili kuwa msafara wa mh YAMSEBO utachagizwa na kiongozi mkuu wa vijana wa chama hicho( BAVICHA,) NDUGU JOHN HECHE,kitendo ambacho kimeongeza mlipuko na shamra shamra zaidi kikitasfiriwa kama ishara ya kiongozi huyo wa vijana wa chadema taifa kukubalika saana katika maeneo haya ya sumbawanga na rukwa kwa aina ya hotuba anazozitoa ikikumbukwa kuwa alikuwa hapa miezi michache iliyopita akilipua kashfa nzito ambazo ni kero kwa wanasumbawanga
WAKATI HAYO YAKIENDELEA KUNAKO CHADEMA NA KWA WAFUASI MBALIMBALI WALIOPANGA KUFANYA MAPOKEZI ENEO LA kijiji cha TAMASENGA, kata ya TITO huku upande wa pili inatakiwa viongozi hawa wachukue tahadhari kubwa wawapo safarini na wasipuuze
kwa maana viongozi wakuu wa serikali mkoani wafanyabiashara na wanaccm wakubwa hawajafurahia mahakama kutupilia mbali rufaa yao na mpaka sasa wamekuwa na vikao vingi vya kimkakati vinavyoratibiwa kwa karibu na mkuu wa mkoa ENG STELLAH MANYANYA,AESHY,VIJANA MBALIMBALI. chuki na hila ni sehemu ya agenda za siri zinazotakiwa kuratibiwa .Awali kulikuwa na mpango wa lori aina ya scania ama FUSO kuvamia na kusababisha ajali likilenga gari linaloaminika kutumika na Heche na Yamsebo!na hata hilo likishindikana kuna uwezekano mkubwa wa mkutano wa CHADEMA kuvamiwa ama kutokea fujo ya aina yoyote maana kuna kundi la vijana lilikuwa linaandaliwa kupigana katika msafara wa mapokezi ama hata kupigana wakiwa na muonekano wa taswira ya kama vijana wa chadema wakipigana wenyewe kwa wenyewe na hata kumdhuru mmoja ama wote kati ya viongozi walioambatana na msafara wa heche
zaidi ushauri wangu kwa haya niliyoyaona ni kwamba hali ya mipango hii bado naifuatilia ingawa kuna usiri mkubwa saana jamani hawa viongozi wanatakiwa kuwa makini saana na ratiba yao na program zote maana washika mpini wana mkao usioridhisha
source ni mimi mwenyewe