CCM Rukwa wapanga kuwadhuru Yamsebo, na Heche mapema (mitego yapangwa)

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
ndugu wanajamvi katika hali inayoashiria chama tawala kuanza kukoswa uvumilivu wa kidemokrasia na kuvumilia mitupo ya CHADEMA hapa rukwa eneo la MAZWI SOKONI vilifanyika vikao vya siri nzito baada ya shamra shamra kuanza mitaani na tetesi mbali mbali za wanachama na wapenzi wa CHADEMA kuanza kuandaa mapokezi ya mh NORBET YAMSEBO, ambaye inasemekana anaingia hapa leo akitokea DAR ES SALAAM ikawa ni kero kwa wanaccm ikaja taarifa ya pili kuwa msafara wa mh YAMSEBO utachagizwa na kiongozi mkuu wa vijana wa chama hicho( BAVICHA,) NDUGU JOHN HECHE,kitendo ambacho kimeongeza mlipuko na shamra shamra zaidi kikitasfiriwa kama ishara ya kiongozi huyo wa vijana wa chadema taifa kukubalika saana katika maeneo haya ya sumbawanga na rukwa kwa aina ya hotuba anazozitoa ikikumbukwa kuwa alikuwa hapa miezi michache iliyopita akilipua kashfa nzito ambazo ni kero kwa wanasumbawanga

WAKATI HAYO YAKIENDELEA KUNAKO CHADEMA NA KWA WAFUASI MBALIMBALI WALIOPANGA KUFANYA MAPOKEZI ENEO LA kijiji cha TAMASENGA, kata ya TITO huku upande wa pili inatakiwa viongozi hawa wachukue tahadhari kubwa wawapo safarini na wasipuuze
kwa maana viongozi wakuu wa serikali mkoani wafanyabiashara na wanaccm wakubwa hawajafurahia mahakama kutupilia mbali rufaa yao na mpaka sasa wamekuwa na vikao vingi vya kimkakati vinavyoratibiwa kwa karibu na mkuu wa mkoa ENG STELLAH MANYANYA,AESHY,VIJANA MBALIMBALI. chuki na hila ni sehemu ya agenda za siri zinazotakiwa kuratibiwa .Awali kulikuwa na mpango wa lori aina ya scania ama FUSO kuvamia na kusababisha ajali likilenga gari linaloaminika kutumika na Heche na Yamsebo!na hata hilo likishindikana kuna uwezekano mkubwa wa mkutano wa CHADEMA kuvamiwa ama kutokea fujo ya aina yoyote maana kuna kundi la vijana lilikuwa linaandaliwa kupigana katika msafara wa mapokezi ama hata kupigana wakiwa na muonekano wa taswira ya kama vijana wa chadema wakipigana wenyewe kwa wenyewe na hata kumdhuru mmoja ama wote kati ya viongozi walioambatana na msafara wa heche
zaidi ushauri wangu kwa haya niliyoyaona ni kwamba hali ya mipango hii bado naifuatilia ingawa kuna usiri mkubwa saana jamani hawa viongozi wanatakiwa kuwa makini saana na ratiba yao na program zote maana washika mpini wana mkao usioridhisha
source ni mimi mwenyewe
 
Ni kweli mkuu, mratibu wa mpango haramu huu ni Lameck Madilu, huyu jamaa mikono yake imejaa damu.
 
magamba wameishiwa sera wamebak kupanga mipango ya kudhuru wapinzan! Kazi ya mwigulu huyo na political strategy zake
 
Wanasumbawanga msiposimama kidete nyie wenyewe magamba zao ni vitisho na kutumia nguvu ili mrudi nyuma wawapore kilichochenu mchana kweupe mlindeni saana dogo heche vijana tunamtegemea saana hapa chadema asidhurike kwa mitego ya kijinga.
 
Ameen! Mkuu vipi leo tarehe 11/10/2012 bado ramli ya dada yetu haijatimia?
 
Huyu mkuu wa mkoa anaonekana ana roho mbaya sana ndio maana wamempa vyeo vingi ndani ya chama.Binadamu tukumbuke hatutaishi milele duniania na hatukujiumba wenyewe kuna siku ya kiama.Nahakika mungu yu pamoja na makamanda wetu.
 
ni kweli hizi taarifa tumezipata jana hapa Tunduma,nipo hapa kwa shughuli zangu za kikazi,Chadema wawe macho kwani lolote laweza kutokea
 
chadema wanaulinzi wanausalama wa hali ya juuu kuliko hao ccm na usalama wa taifa.
Hata kule nyororo alikua anatafutwa dr.slaa baada ya kumkosa hasira zao zikaenda kwa mwangosi kwamba ndo kavujisha siri. Nina iman na mkurugenzi wa usalama wa chadema mheshimiwa ALFRED RWAKATARE ft MABELE MARANDO. Mia
 
Back
Top Bottom