Ccm prove failure

Mkwele

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
206
24
Hali ya Usalama Nchini​

Ndugu Zangu;
Hayo si matatizo ya kumalizika ndani ya siku tisa. Mzee Nyerere aliongoza kwa miaka 23 na hakuyamaliza matatizo ya maendeleo ya nchi hii. Na wale wa umri wangu au kunizidi wanakumbuka hali ilivyokuwa wakati anang’atuka. Hakuacha nchi ikiwa tajiri. Mzee Mwinyi kakaa miaka 10 hakuyamaliza, Mzee Mkapa nae kakaa miaka 10 hakuyamaliza. Mie nimekaa miaka mitano hayakwisha na nitamaliza mitano hayataisha yote.

Nimechukua kipande kidogo sana cha hotuba yake.

Tukiendelea kuongozwa na CCM tutaendelea kuwa masikini milele na milele, CCM have already proved failure.
 
Hapo hata shetani anashangaa kwa uongo uliopitiliza namna hiyo, Mwalimu aliiacha nchi masikini???, haiingii akilini hata kidogo..Rasilimali (Madini, Misitu na sasa wanavuna baharini c.f kesi ya samaki wa magufuli) alizoziacha leo zipo?Viwanda hata cha urafiki leo kinafanya kazi gani?kiwango cha elimu kwa wata-TZ leo kikoje?haya ni baadhi tu ya maswali ambayo kama anajua majibu yake basi hakupaswa kutoa kauli hiyo!
 
Back
Top Bottom