CCM Oyee UK-Wanachama wa CCM UK...Walikimbia nini Tanzania? Something Wrong TZ-UK

nimepata tabu sana kumuelewa huyu ndugu na hasa kwenye issue zake ajira milioni moja na shule za sekondari. ajira milioni moja hazikuzalishwa kama anavyodai na ushahidi mkubwa ni kuongezeka kwa un employment rate ndani ya nchi kwani kila mwaka vijana laki saba wanamaliza darasa la saba bila ya kwenda secondari kwahiyo kwa miaka mitano hao ni zaidi ya watu milioni tatu na nusu bila ya kuhesabu wale wanaomaliza form 4 na 6 kwahiyo kama hizo ajira kweli milioni moja zilitengezwa ukitoa na idadi ya wanaomaliza shule kwa miaka mitano tu ni vijana milioni mbili unusu wanabaki bila ya kazi. kuhusu mafanikio ya kujenga shule nyingi karibu kila kata na shule hizo kutokuwa na vitendea kazi wakiwemo walimu nafikiri matunda yake tumeyaona zaidi na ya nusu ya wanafunzi wote waliomaliza sekondari mwaka 2010 walipata division zero na pia ukichanganya nawaliopata division 4 kwa ujumla asilimia 88 ya wanafunzi wote hawakwenda kokote sasa kama matokeo haya huyu bwana anayaita mafanikio basi tuna matatizo makubwa sana ndani ya nchi yetu.
 
hilo ndo swali. kama ccm inaweza kwa nini wasirudi bongo? yani kuna wajinga wengi sana humu!
 
Hhahaha...CCM Oyeee..duh..nimekumbuka mbali sana..siku ya Mwenge au kiongozi wa chama kitaifa au kimkoa akija.... shule zinafungwa na wanafunzi mnaenda kujipanga barabarani kuimba fikra za mwenyekiti...duuh..

I like this guy th way he expresses whatever he says with optimism and passion.

Tatizo langu: Unawaona kabisa hawa jamaa wote wanafiki..no body believes their words.....Kuna tofauti kubwa sana kati ya CCM ya enzi hizo na CCM ya siku hizi...well..time flies!
 
nini kilikuwa kinaongelewa mie naclick inaniambia video removed by user:spy::israel:
 
nimepata tabu sana kumuelewa huyu ndugu na hasa kwenye issue zake ajira milioni moja na shule za sekondari. ajira milioni moja hazikuzalishwa kama anavyodai na ushahidi mkubwa ni kuongezeka kwa un employment rate ndani ya nchi kwani kila mwaka vijana laki saba wanamaliza darasa la saba bila ya kwenda secondari kwahiyo kwa miaka mitano hao ni zaidi ya watu milioni tatu na nusu bila ya kuhesabu wale wanaomaliza form 4 na 6 kwahiyo kama hizo ajira kweli milioni moja zilitengezwa ukitoa na idadi ya wanaomaliza shule kwa miaka mitano tu ni vijana milioni mbili unusu wanabaki bila ya kazi. kuhusu mafanikio ya kujenga shule nyingi karibu kila kata na shule hizo kutokuwa na vitendea kazi wakiwemo walimu nafikiri matunda yake tumeyaona zaidi na ya nusu ya wanafunzi wote waliomaliza sekondari mwaka 2010 walipata division zero na pia ukichanganya nawaliopata division 4 kwa ujumla asilimia 88 ya wanafunzi wote hawakwenda kokote sasa kama matokeo haya huyu bwana anayaita mafanikio basi tuna matatizo makubwa sana ndani ya nchi yetu.

Ngoja Tukuamshe Mwana Jamii Forums; Mwezi Ujao ni Uchaguzi CCM NEC;(Halmashauri

KUU) kwahiyo nadhani

Wamekuja kugombania hizo nafasi wakizipata ndio ulaji unaanza...
 
cccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,na mie kuanzia sasa nitakuwa napigia debe chama la ccm,chama kubwaaaa :flypig:
 
Back
Top Bottom