CCM Nyonyeni Watanzania hadi akili zao zikae sawa.... umaskini na ujinga viliumbwa....

Hapo huwaga nawaonea huruma sana watanzania, mfano mzuri ni wale waliobomolewa nyumba zao pale dodoma na kuanza kulala nje kama wanyama bila hata kujali haki za binaadam. Mi siwezi kukata tamaa kwa sasa, nasubiria baada ya 2015 kama wakibakia madarakani najua basi tena tumerogwa nami nanyoosha mikono juu kusurrender.
 
Back
Top Bottom