CCM ni waongo kupindukia

Kiranja

JF-Expert Member
May 19, 2007
751
336
Nimeshindwa kutoa Hilo picha , ila tazama blog ya Ccm utaona wameweke picha mbili za ridhiwani Akita kwenye Kikao Kimoja ila kavaa nguo tofauti moja kavaa Shati la kijani wanasema alikuwa anachangia , ila ukiangalia picha ya tatu utamuona kavaa Shati lenye weupe wakati amekaa Akita anaongea Michael uledi .

Wataalamu wa it nenda www.ccmblog.com utaona na ziwekeni hapa hiyo picha , hii ni dalili ya wazi kuwa Ccm kila kits hata kwenye blog Yao wenyewe wan.achakachua ? Kwa masilagi ya nani.

Angalia picha ya tatu na ya tano , Wenye mautundu ziwekeni
 
Picha hizo mbili unazozitaja ni hizi hapa, duh! CCM kwa kuchakachua!

attachment.php

Attachments

  • scan0001.jpg
    scan0001.jpg
    753.3 KB · Views: 418
Nimeshindwa kutoa Hilo picha , ila tazama blog ya Ccm utaona wameweke picha mbili za ridhiwani Akita kwenye Kikao Kimoja ila kavaa nguo tofauti moja kavaa Shati la kijani wanasema alikuwa anachangia , ila ukiangalia picha ya tatu utamuona kavaa Shati lenye weupe wakati amekaa Akita anaongea Michael uledi .

Wataalamu wa it nenda www.ccmblog.com utaona na ziwekeni hapa hiyo picha , hii ni dalili ya wazi kuwa Ccm kila kits hata kwenye blog Yao wenyewe wan.achakachua ? Kwa masilagi ya nani.

Angalia picha ya tatu na ya tano , Wenye mautundu ziwekeni

DSCN1733.JPG

DSCN1753.JPG

Sina hakika kama picha ya pili aliyevaa shati jeupe ni Ridhiwani, na hata kama ni yeye tujue vikao hufanyika muda mrefu na huwa na mapumziko, inawezakana kuvadili nguo kwa ajili ya kujinafsi.
 
hujui hata watu wako ama kweli mfu hajiombei utakaso
 
Nashukuru mlioziweka, mkutano ni huo huo , sasa kila akichangia ananda kubadi nguo? AMA ankl kova kasha wapa maujanja ya mkenya aka ulimboka?
 
Nimeshindwa kutoa Hilo picha , ila tazama blog ya Ccm utaona wameweke picha mbili za ridhiwani Akita kwenye Kikao Kimoja ila kavaa nguo tofauti moja kavaa Shati la kijani wanasema alikuwa anachangia , ila ukiangalia picha ya tatu utamuona kavaa Shati lenye weupe wakati amekaa Akita anaongea Michael uledi .

Wataalamu wa it nenda www.ccmblog.com utaona na ziwekeni hapa hiyo picha , hii ni dalili ya wazi kuwa Ccm kila kits hata kwenye blog Yao wenyewe wan.achakachua ? Kwa masilagi ya nani.

Angalia picha ya tatu na ya tano , Wenye mautundu ziwekeni

Umekosea, blog ya ccm ni: ccmchama.blogspot.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom