CCM ni wanafiki mno,waige CHADEMA

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Mi nashangaa sana,viongozi wa juu wanasema mafisadi wajiondoe wenyewe.Nape,Mkama,CC wamesikika mara kadhaa wakiwataka mafisadi wajiondoe.Tunaomba wawataje kabisa kama walivyofanya Chadema.Tumechoka na siasa.Watupe list kabisa,la sivyo wao wenyewe wajiondoe kwanza kwa sababu wanatudanganya,sisi sio watoto wadogo.Tutawatosa 2015.CCM tajeni kabisa tuwajue.Mi naipenda sana chadema sio wanafiki wanataja kabisa
 
with time Nape tunayemwamini atakuwa makapi manake anaongea sana 'kuna mafisadi' ila hataji ni akina nani?
tutamchoka muda sio mrefu.

EL,RA,AC wasijiuzulu ccm hawana la kuwafanya kwani wengi wao wameoza kwa ufisadi. Mkapa+Meghi ndani ya CC na miufisadi yote waliyofanya
jamani masihara haya.
 
nape mi namlinganisha na mtoto anayepiga piga makelele kwa kujinyea ...hafiki mbali
 
Mi nashangaa sana,viongozi wa juu wanasema mafisadi wajiondoe wenyewe.Nape,Mkama,CC wamesikika mara kadhaa wakiwataka mafisadi wajiondoe.Tunaomba wawataje kabisa kama walivyofanya Chadema.Tumechoka na siasa.Watupe list kabisa,la sivyo wao wenyewe wajiondoe kwanza kwa sababu wanatudanganya,sisi sio watoto wadogo.Tutawatosa 2015.CCM tajeni kabisa tuwajue.Mi naipenda sana chadema sio wanafiki wanataja kabisa
Strategist wao ni mtu asiye na maono na sijui kama wana strategist,hawaezi kununua sera ya chama kingine wakaibebaa jinsi ilivyo halafu katika kuitekeleza wakaacha mapengo Nape na sekretariati yake wanatakiwa katika ndani ya siku 90 walizosema wafanye kwa vitendo
Waje na orodha ya mafisadi wanaotaka wajiondoe manake wenyewe wanaweza wasijijue
Mwenyekiti wa CCM lazima naye awe kati ya mafisadi watakaonq'olewa
Makatibu wakuu wote ambao wizara zao kwa kupitia miradi mbali zimeboronga lazima wanq'oke ni mafisadi pia
Wakuu wa mashirika yanayotapanya fedha za umma lazima wanq'oke kama NSSF,TRA,TPA,PPFP,PPF,TANESCO,ATCL,TANAPA,
Wakuu wa vyombo vya dola lazima wanq'oke kwa kushindwa kusimamia ufisadi nchi UWT,POLISI
Wakurugenzi wote ambako kuna hati chafu
Wakurungenzi wote na wataalamu wa wizara ambako mikataba mibovu imesainia
na orodha inaendelea,sasa wasipofanya hivyo ndio kifo cha CCM,ni ujinga ulioje kukurupuka kuanzisha kitu ambacho hutatoa mrejesho sahihi ,tayari wameshanza kuogopa kivuli chao wanaanz na kujitetea eti mafisadi watatumia vyama kumchafua Raisi na familia yake,huu ni utoto kabisa,Raisi ni mmoja wa Fisadi iweje leo awekwe pembeni
Sio mwanachama wa CCM lakini sikupenda CCM ife kifo cha aibu na mna hii na mchonga sanaduku na kaburi ni hii sekretariati baada ya kuchaguliwa wangekaa chini wakaoanisha mambo gani ya msingi wanataka kufanya ili kurudisha hshima ya chama kwa hivi walivyofanya hawana wiki watakuwa wameanguka vibaya sana,manake hata wana CCM hawajapokea vizuri uamuzi huo hii inadhihirisha na mahudhurio ya wananchi kwenye mihadhara ya utambulisho sio ile kama tunavyoifahamu CCM,
 
wanajuana hao..........hii ni mwendelezo wa ile kauli ya ccm ya "DANGANYA TANZANIAN HAO"......yaani kwa ccm watz ni watoto wadogo sana
 
Back
Top Bottom