CCM ni 'nambari one' katika nini?

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Kwa Muda mrefu nimekuwa nikisikia mbiu hii kwamba ''CCM NI NAMBARI ONE''.

Yaani CCM NI NAMBA MOJA.
Baada ya kufikiri sana, nimegundua kuwa sijui maana ya SLOGAN hii.

Naamini hapa jamvini huenda mwaweza kunijulisha kuwa ,
CCM NI NAMBARI ONE katika nini hasa?

Au ni msemo tu wana JF?
 
Jibu mbona ni rahisi sana,CCM ni Nambari One Katika UFISADI.
 
Kwa Muda mrefu nimekuwa nikisikia mbiu hii kwamba ''CCM NI NAMBARI ONE''.

Yaani CCM NI NAMBA MOJA.
Baada ya kufikiri sana, nimegundua kuwa sijui maana ya SLOGAN hii.

Naamini hapa jamvini huenda mwaweza kunijulisha kuwa ,
CCM NI NAMBARI ONE katika nini hasa?

Au ni msemo tu wana JF?
Kujenga nchi....teh teh
 
kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia mbiu hii kwamba ''ccm ni nambari one''.

yaani ccm ni namba moja.
baada ya kufikiri sana, nimegundua kuwa sijui maana ya slogan hii.

naamini hapa jamvini huenda mwaweza kunijulisha kuwa ,
ccm ni nambari one katika nini hasa?

au ni msemo tu wana jf?
ufisadi
 
Ya kwanza kwa kuiba Kura
Ya kwanza kukumbatia mafisadi
Ya kwanza kurudisha maendeleo ya nchi nyuma
Ya kwanza kwa viongozi wake wa ngazi zote kuwa wanafiki
Ya Kwanza kutoa ahadi zisizotekelezeka
Ya kwanza kung'ang'ania umiliki wa mali za wananchi- viwanja vya michezo na majengo yaliyojengwa kwa nguvu za wananchi wote
Ya kwanza kuwa fisadi - Deep Green, meremeta, Tangold
 
Last edited:
Mfumwa,nadhani umeeleweka vizuri mkubwa!!
Kuhusu ufisadi umeanza kwa kasi miaka ya hivi karibuni na si kipindi hicho cha uanzilishi wa chama cha mapinduzi...Na usemi wa "Nambari one" haujaanza leo wala jana...!
 
CCm nambari wani kwa kuvuruga elimu ya watoto
ya kwanza kuongeza vifo vya wazazi
ya kwanza kwa kuchafua miji
ya kwanza kwa kuua siasa ya ujamaa na kujitegemea
ya kwanza kuongeza umaskini kati ya wananchi
ya kwanza kwa kuua mfumo wa demokrasia
 
Ya kwanza kuinua elimu kama hivi

WANAFUNZI12.jpg
 
CCm nambari wani kwa kuvuruga elimu ya watoto
ya kwanza kuongeza vifo vya wazazi
ya kwanza kwa kuchafua miji
ya kwanza kwa kuua siasa ya ujamaa na kujitegemea
ya kwanza kuongeza umaskini kati ya wananchi
ya kwanza kwa kuua mfumo wa demokrasia
Jamani!
 
Back
Top Bottom