CCM ni chama imara na ni cha watanzania wote

Jimy P

Senior Member
Dec 7, 2011
125
23
Chadema wanapeana madaraka kwa ukanda, na si wazalendo..

Slaa kachukua pesa za chama bila idhini anajenga nyumba...
 
Wakati tunapata uhuru tulikuwa na Barabara ya lami moja na sasa kila mkoa unaunganishwa na lami, Secondari mpak a kwenye kata, mafisadi wanashughulikiwa,....

Unadhan Chadema wakishika nchi watafanya nini zaidi ya kutuibia tu kwa sababu chama chao hakikuwa chama cha siasa,
Dr Slaa amebeba fedha za Chama anajenga Nyumba yake bila kupewa na Chama Je akikabithiwa nchi atafanya nini kama kaanza wizi mapema,,,,,

Cha Msingi kwenye nchi yetu kupata viongozi wazalendo
 
Kwa ujinga huu ni lazima CCM iangamie.Badala ya kutengeneza mlipobomoa mnazidi kuboa,ole wenu,mwisho wenu umekaribia.
Chadema wanapeana madaraka kwa ukanda, na si wazalendo..

Slaa kachukua pesa za chama bila idhini anajenga nyumba...
 
Chadema wanapeana madaraka kwa ukanda, na si wazalendo..

Slaa kachukua pesa za chama bila idhini anajenga nyumba...

Ushahidi huna unaropoka Kama mtu mpumbavu aliezifungia akili zake kabatini kwa ahadi ya kushibishwa na chochote,kazi ubaiweza nenda kwa aliekutuma akakulipe rushwa yako
 
Nahisi harufu ya life ban, ngoja nisepe

tena Angel, kaa mbali manake hawa magamba junior member wanaanzisha thread ya ku invite matusi upigwe ban badala ya kuomba wakaribishwe jamvini. bora usepe.

wew Jimy P, usilete balaa humu ndani. kichwa cha habari na thread ni sawa na mbingu na ardhi. acha kuwa bwabwa.
 
Chadema wanapeana madaraka kwa ukanda, na si wazalendo..

Slaa kachukua pesa za chama bila idhini anajenga nyumba...

haya mpigie bwana wako mwambie tayari akumalizie posho yako.. najua njaa tu inakusumbua maskini we.
 
Me nilikuwa nasubiri sera za CCM, badala yake nakuta story zile. Ukanda, udini, Slaa kaiba hela. Jamani hizi nyimbo tumezisikia sana, tafuteni nyingine.
 
hakuna jipya hapa me naona vumbi tu yaani wewe ni mtu wa ajabu sana unaeimwagia sifa ccm unadhani tangu wakati wa uhuru chadema tungekua tumejenga barabara za lami ngapi kama sio ni nyingi sana tena juu na chini
 
Kipengere cha uhuru wa kuongea kiwe na mipaka ili kuepusha uhalo kama huu
 
Chadema wanapeana madaraka kwa ukanda, na si wazalendo..

Slaa kachukua pesa za chama bila idhini anajenga nyumba...

kama wanapeana ccm wanafanyaje? kijiji cha msoga kwa JK zile kastry zimetoka wapi? majumba, magari, wake,ngombe, mashamba na vituo vya mafuta na magari ya kuafirisha mizigo na mafuta nje jk kayapata wapi?
Unawezaje kuelezea utajiri wa RITZ1?
tafakari
 
Jamani kama wao wanavyozikimbia thread zetu za kuwaeleza uchafu wao na sisi tusipoteze muda na thread zao za kipropaganda
 
Back
Top Bottom