CCM ni chama cha Mikakati ya ushindi, Mapene 4 usiku 01 Aprl 2012 Sioi kutangazwa mshindiiiii

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Strategic Plan ya CCM ni ushindi wa kishindo, Main objective ushindi ni lazima, specific objective ushindi mkubwa sehemu za vijijini na nje ya miji. Target Population, Wakinamama na Wadada wote, Watu wamakamo, Wazee, Vijana wote wenye shahada za kupigia kura.

Methodologies za ushindi ni zaidi ya upeo wako wafikra.
Mikutano yetu ya kufunga kampeni tunakwenda nje ya mji wa Arumeru kwa ajili tu ya kukamilisha mkakati wa ushindi wetu kwani huko ndo kunawapiga kura waukweli na ndio chanzo chetu kikuu cha ushindi.

Tafadhalini nawaagizeni Chadema muwe watulivu tu na mkubaliane na matokeo ya ushindi ambayo 1/04/2012 saa nne usiku yatamtangaza sioi kuwa mbunge mpya wa Arumeru. Nawapongezeni Chadema kwakutupa changamoto mbili tatu katika kuwatumikia vyema wanannchi watanzania kwani ndio wajibu wetu kama CCM.

Mwisho Chadema msikate tamaa endeleeni na harakati zetu za kukijenga chama chenu hadi kufikia 2030 tunaweza kuwafikiria katika kuwapa japo nafac za uwaziri katika serikali yetuya CCM; msikate tamaa wala msijetengana kama CUF,NCCR na TLP
 
Back
Top Bottom