CCM nani kawachukua huyu mbunge namkewe jamani? Mbona hivi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Hakika mtafanya wake za wabunge wasikanyage kabisa dodoma kama mmeanza kuchukuana kwa nguvu hivi
nahisi mmemdhtus sana sana mama a lyatonga maana kila wakati yuko na mkewe
kwa style hii amwoni jamani mtawafanya wale machangu kuanza kujazana na kurandana na wabunge wetu
huku tukiendelea kuzika kwa shinikizo za damu na pressure..sipendi sipensi kabisa kurudiwa uchaguzi maana
wizi mtupu hela yangu yakodi inatumika nauliza nani kawachukua wapendwa hawa jamani ccm ??
 
...hiyo ni kafara, kwan kila kila vikao havikosi kasoro...!! Ndo ivo "INNALILLAH WAINA ALLAH RAAJIUWN.
 
...hiyo ni kafara, kwan kila kila vikao havikosi kasoro...!! Ndo ivo "INNALILLAH WAINA ALLAH RAAJIUWN.

sijui nani anafwata mkuu ommy tusaidie maana naona wameanza kupumuzisha familia zamani walikuwa wanapumuzisha wabunge pekee
kazi ipo
 
Back
Top Bottom