CCM Nambari wani

270977_383365241722727_736925910_n.jpg

Hawa ni baadhi ya wabunge wetu wa ccm wanaotuwakilisha katika bunge la bajeti linaloendelea.

Z

Z

Nambari wani nambari wani ni CCMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMM...
 
Attachments

  • wasira kikombe..jpg
    wasira kikombe..jpg
    15.4 KB · Views: 44
  • wanafunzi.jpg
    wanafunzi.jpg
    23.8 KB · Views: 84
Na hapo alipo atakuwa ana muota Lulu, akishtuka tu anagonga meza ndiyooooooooo!!!!!!!!!
mpwa,
mi mgeni maeneo haya, inamaana huyu m'baba na Lulu ni mambo swafi?, na Kanumba nae alikua anaibia tu au nani 'mmiliki' halali wa Lulu??
nauliza tu jamani.
 
Aliamua kulala baada ya kuona mbunge wenu anaongea upumbavu

wee hujui usingizi wa hadharani ni mbaya?
unaweza ukatoa shuzi na ukiwa mnene ndio balaa kama gari ina misi papapapapaaapa!
unaweza ukaota uko kwa mkeo ukaanza kukata kiuno wenzio wakaona unawanga!
 
Hapa huyu jamaa amelala fofofo sasa ni saa ngapi alisikia michango ya Wabunge wa upinzani na akawahukumu kuwa ni vichaa. Huyu Komba nafikiri anaumwa,huku kulalalala Bungeni si bure. Tunasikia sifa za Komba hata akapewa Ubunge ni KUKATA MAUNO KWENYE ILE BENDI YA JESHI-TAARABU. Huku ndo kwenye maeneo yake,huku Bungeni hakumfai!!!!
Futa kauli yako mh....sema alikuwa amemeza piritoni....si umesikia pesa za rushwa wanaziita chenji za rada...
 
mpwa,
mi mgeni maeneo haya, inamaana huyu m'baba na Lulu ni mambo swafi?, na Kanumba nae alikua anaibia tu au nani 'mmiliki' halali wa Lulu??
nauliza tu jamani.
huyu atakuwa mmliki amana alikuwa ananunua mpaka gari...
 
Unafiki mtupu hata ndani ya bunge ni unafiki mtupu. Utasikia naunga mkono hoja halafu malalamiko kibao sielewi. Wabunge wa CCM wanachekesha sana maelezo yao yanakinzana na hitimisho hivi wanamdanganya nani?
 
Unafiki mtupu hata ndani ya bunge ni unafiki mtupu. Utasikia naunga mkono hoja halafu malalamiko kibao sielewi. Wabunge wa CCM wanachekesha sana maelezo yao yanakinzana na hitimisho hivi wanamdanganya nani?
 
270977_383365241722727_736925910_n.jpg

Hawa ni baadhi ya wabunge wetu wa ccm wanaotuwakilisha katika bunge la bajeti linaloendelea.

Hivi aliwezaje kula tunda na yule kinda? Ndiyo maana ni lazima alale mchana maana makinda na nguvu zao hili zee na limwili hilo hakuna kitu labda kama anasaidiwa na V.I.A.G.R.A. Hivi ni nani anaweza kunikumbusha kama huyu tingatinga ameshawahi kuchangia hoja bungeni? Kweli nchi hii, ndiyo wanaopitisha bajeti na sheria za nchi hii, je si ndiyo maana ni bajeti DHAIFU!!
 
mpwa,
mi mgeni maeneo haya, inamaana huyu m'baba na Lulu ni mambo swafi?, na Kanumba nae alikua anaibia tu au nani 'mmiliki' halali wa Lulu??
nauliza tu jamani.

Huyo M'baba ni mbakaji. Alimbaka biti wa umri chini ya miaka 18 na kumpa mimba.
 
Hivi aliwezaje kula tunda na yule kinda? Ndiyo maana ni lazima alale mchana maana makinda na nguvu zao hili zee na limwili hilo hakuna kitu labda kama anasaidiwa na V.I.A.G.R.A. Hivi ni nani anaweza kunikumbusha kama huyu tingatinga ameshawahi kuchangia hoja bungeni? Kweli nchi hii, ndiyo wanaopitisha bajeti na sheria za nchi hii, je si ndiyo maana ni bajeti DHAIFU!!

Alishawahi kuchangia Mkuu. Alichangia kuwa Wabunge wa CHADEMA kabla hawajaingia bungeni wapitie Mirembe wakapimwe akili.
 
Alishawahi kuchangia Mkuu. Alichangia kuwa Wabunge wa CHADEMA kabla hawajaingia bungeni wapitie Mirembe wakapimwe akili.

Ha ha ha ha ha ha nmecheka mbavu sina!!! Kwa hiyo hapo alipo kauchapa usingizi tumuiteje? Yaani anaogopa akili za geneus wa CDM? Hajuia hawa wabunge wa CDM wanafikiria beyond their normal IQ? Hawakwenda Dodoma kulaza Obesity, bali wanaenda kuchangia namna ya kuboresha uchumi altimately maisha ya mwanadamu wa kitanzania, nje ya mafisadi ambao wengi 67.9% wanaishi chini ya 1.25 USD per day!!! Hapo ni nani anahitaji kuhudhuria clinic ya milembe!!!??
 
nadhani ngumi zikianza mjengoni komba atatandikwa mpaka kufa kwa presha ya ngumi moja tu. upinzania kuna makamanda wengi vijana huku mdee kule sugu pale zitto hapa silinde tena huyu aliwai kumwambia mizengo kwamba yuko fit hata wakisema wapimane ubavu atamshinda!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom