Elections 2010 CCM na uchakachuaji wa maswali....

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
kwenye taarifa ya habari TBC1 leo nimemuona mzee Makamba anaropoka kama kawaida yake alisema: wanataka mdaharo ila lazima wajue niwatugani wanaenda kukutanao yaani siku ya mdaharo, maswali yapi yataulizwa siku hiyo akaendelea kusema siyo unawakusawa watukutoka kariako harafu unataka wawaulize maswali si watawaambia jana hawajala na ccm ndiyo imesababisha...na mwisho kasema maswali yawe ndani ya ilani zao....wewe mzee wewe mnataka kuchakachua mpaka maswali…
 
Ndiyo maana amekataa mdahalo. Anajua wazi kuwa wagombea wa CCM ni mbumbumbu kuanzia JK. Hawana uwezo wa kujibu maswali ya hapo kwa hapo. Hadi wawe na vidasa- 'ready made answers' ili wachungulie majibu wakiulizwa swali.

Nadhani hata wangeruhusiwa wafanye hivyo bado wangeshindwa kujibu. Hawa ndo uwategemee waendelee kuongoza nchi hii?
 
kwenye taarifa ya habari TBC1 leo nimemuona mzee Makamba anaropoka kama kawaida yake alisema: wanataka mdaharo ila lazima wajue niwatugani wanaenda kukutanao yaani siku ya mdaharo, maswali yapi yataulizwa siku hiyo akaendelea kusema siyo unawakusawa watukutoka kariako harafu unataka wawaulize maswali si watawaambia jana hawajala na ccm ndiyo imesababisha...na mwisho kasema maswali yawe ndani ya ilani zao....wewe mzee wewe mnataka kuchakachua mpaka maswali…

Wanataka kujua maswali ya mtihani kabla ili waandae majibu kabla, wanataka wajue wauliza maswali ili wahonge wasimamizi wa mtihani. wizi mtupu. kwa midahalo niliyoshuhudia nimeona ina maana sana kwani inaonyesha upeo na uwezo wa kila mbunge mtarajiwa katika kuchambua hoja na kujibu. Ila anachokwepa Makamba ni kama vile mkombea wa CCM anapoonekana mbele ya Watanzania kwamba anashindwa kujieleza na kufafanua hoja mbele ya watu. Anakwepa aibu wala hakuna kingine.
 
Ndio hivyo wagombea mbumbumbu na vicha maji hawawezi kujenga hoja na kuzisimamia hivyo ni lazima wakatae midahalo
 
Ndio maana kuvuja kwa mitihani hakutaisha kwani CCM inaamini kabisa swali usilolijua huwezi kulijibu.
Makamba ni miongoni mwa watu wanaoamini fikra zao zaidi kuliko democrasia ya kweli. hupaswi kumwogopa mwanchi akuulize utekelezaji wa ahadi zako kama umezitekeleza au la.
 
Makamba = parrot.
Kazi yake kutoa siri za ndani ya ccm. Siri za wizi na uchakachuaji
 
Makambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kazi unayo mwaka huu,kuwa katibu si lelemamamaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wakinge uwapendao na CCM, vunja ukimya, zungumza na mwenzako, chagua CHADEMA okoa Taifa lako na mafisadi, badili mfumo na kura yako
 
maswali yapi yataulizwa siku hiyo a…

kuna mwaswali mengine ... yanahitaji ushahidi mgombea hawezi akaropoka hapo kwa papo.. since wapinzani hawa hoja zaidi ya kuibua kashfa ambazo zinahitaji ushahidi.... "mf. akiulizwa kuhusu kufanya kampeni ndege za serikali ..? kama akistukizwa hilo swali na hakuja na risiti kuonesha kuwa zilikodiwa" wa tanzania watamuona sio.

MZEE MAKAMBA ANAAKILI SANA TU!:smile-big:
 
Nilimshangaa ma-kamba nilipomsikia anawaponda waalikwa wanaokwenda katika midahalo hiyo kwamba ni watu ovyo, nilishangaa sana.
Hawa ndio aina ya viongozi wetu. Hawa ndio wanataka tuwapigie kura.
Yeye anataka mdahalo au moderate yeye. hahahahahaha labda kwa sababu vichwa wazi wa bumbuli (sorry to mention this) wamempa zawadi ya ubunge kijana wake sasa anatukana waliobaki bila haya?
Ma-kamba ni mshenzi na hana hata chembe ya ustaarabu, wala hakufaa wala hatawahi kufaa kuwa kiongozi.
Sisi m mtajuta kwa nini mlimuweka kilaza huyu katika uongozi wa juu namna hii madarakani.
 
Acha kuropoka! fikiria kabla hujaropoka:confused2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom