Ccm na staili ya kata mti panda mtu itasaidia chama au kukiuwa chama????

DUNIANGUMU JR

Member
Apr 20, 2011
43
14
Kitendo cha CCM kumtoa Yusuf makamba na kumuweka january makamba tena kwa kumrundikia mavyeo kunatia shaka ndani ya CCM na taifa pia, kuna siri gani kati ya kikwete na Makamba's. hii sawa na kukata mti na kupanda mti?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom