CCM na sisa za Ukabila - Je, Watanzania tufanye nini ili kuepusha shari?

Mimi nafikiri wa Chadema naona mmeanza kutengeneza sababu za kushindwa. Jamani kuweni wawazi na mjitahidi tu kutangaza sera zenu vizuri na muondoe shaka.

Kwani kwenye uchaguzi au campain kuna Fitna nyingi nyingi sana na hizo ni kama fitna. Kumbukeni kwenye ukweli siku zote uongo unajitenga.

Chapeni mwendo acheni kullalama.

Ndugu yangu chadema hawalalamiki angalia comments zote zinalaani hicho kitendo cha kuingiza siasa kwenye makabila. Inamaana wanajua maana ya familia na kinachosababisha familia ifarakane. Wanafikiri wakianza kumshambulia huyu mchaga akija kukujeuka au likianzishwa kama ile mvua iliyoanza kumnyeshea Ghadafi kule Libya mnadhani yatatokea nini? Wanafikiri hata hilo bwaaabwaaaaaaaaa wataliona watamgaiya nani, na saahizo kila mtu anahasira.
 
Back
Top Bottom