ccm na mkakati kuhujumu chadema kwa kumfitini diwani wa sinza

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
2,293
1,170
kwa habari kutoka ndani ya vikao vinavyo endelea kwa siri baina ya wenyeviti wa serikali za mitaa sinza ambao wote ni ccm na viongozi wao wa chama wanafanya mikakati usiku kucha kuhakikisha diwani huyo anaingizwa matatani kwa namna yoyote ile baada ya gilba ya kukwamisha shughuli za maendeleo kukwama. sasa wameandaa mkakati wa kumdhalilisha katika mazingira ya kuonekana kwamba amepokea rushwa. sasa wana jamii pccb wanafanya kazi ya mwakin'ginda fisadi alieshindwa udiwani sinza nakamanda pamba. wanajamii toeni mikakati ya kuzuia hawa walio filisika kisiasa.
 
Aonekane amechukua rushwa ili a-influence maamuzi yapi, kwani diwani huyo ana kura ya turufu kwenye maamuzi?
 
Back
Top Bottom