CCM na mbinu zilizopitwa na wakati za matumizi ya dola kuchukua jimbo la Igunga!

maswagga umeona heee magamba wa humu ndani wameanza kutumia viti na meza badala ya hoja. CCM waache wananchi wachague wanaemtaka wanaweza kuleta kama ishu za shinyanga, matokeo yake mbuge hana raha na jimbo wananchi hawamtaki. Lakini wakae wakijua bunge likiisha crew zima ya wabunge wa cdm watakuwa igunga lazima patachimbika igunga.
 
magamba jamani sasa mmepoteza mwelekeo badala ya kujenga hoja nyie ni upupu tu hapa jamvini .tulieni kimya kama malaria sugu kama hamna cha kuchangia si kuharibu hoja. Pambaf sana magamba wote!
 
Inasikitisha sana kuona vitendo vinavyoendelea kujitokeza ndani ya wilaya ya igunga, mkuu wa kituo cha polisi amehamishwa kwa kuruhusu opereshen sangara, meneja wa bank ya NMB amepewa uhamisho kwa kosa la kwenda kusikiliza mikutano ya CHADEMA, kubwa zaidi mkurugenz wa halmashauri ndugu Magayane naye kapewa barua ya uhamisho kwenda kusikojulikana kwa kosa la kuidhinisha barua ya ndugu Joseph Kashindye kwenda kugombea kwa tiketi ya CHADEMA ili hali anajua ataleta upinzani mkubwa kwa CCM.

Leo hii RPC wa mkoa wa Tabora naye kahamishia ofisi yake wilaya ya igunga kwenye lodge moja inayoitwa sophia lodge.

Sasa je tujiulize huko tunakokwenda kuna usalama kweli? Kiukweli mimi ni mkereketwa wa CCM lakini hili jimbo tunalipoteza kwa hali iliyopo sasa, mana kila kona cdm. Tusipokuwa makini damu ya watanzania wenzetu itamwagika mana FFU toka Tarime nasikia ndo watakaokuwepo kuhakikisha amani inakuwepo.

Nawasilisha

Hello my fellow Tanzanians na Wana-Igunga wote let me say this on Igunga Constituency by-election:

Serikali ya Chama Cha Magamba-CCM imezoea kushinda kura kila chaguzi kwa njia za ujanjaujanja,ulaghai,wizi,uchakachuaji na vitisho. Inasikitisha sana kwenye nchi tunayosema chaguzi zinafanyika kwa uhuru na haki!!!

Ukweli na Uhakika wa MATOKEO YA KURA ZA IGUNGA NI KWAMBA CCM HAWATAWEZA KUSHINDA KWA NAMNA YOYOTE ILE kama kweli misingi,sheria na taratibu za Uchaguzi ZITAFUATWA. Nasema hivi kwa ujasili kabisa kwasababu CCM WAMEJIMALIZA WENYEWE IGUNGA BAADA YA KUMTUHUMU ROSTAM AZIZI KUWA NI GAMBA. Kila mtu alishuhudia nini kilitokea wakti Mhe. Rostam Aziz anatangaza KUJIVUA GAMBA.
Kila Mtanzania alishuhudia Wana-Igunga WAKILIA,KUANGUKA NA KUZIMIA kwasababu MBUNGE WAO MPENDWA AMEAMUA KUJIUZULU KWASABABU YA KUSINGIZIWA AU KUZUSHIWA kuwa ni FISADI na GAMBA.

Rostam Aziz aliweka wazi kuwa YEYE HAKUJIUZULU KWA SABABU YA UFISADI kwasababu tuhuma hizo si za kweli zidi yake. ALISEMA kuwa AMEAMUA KUONDOKA CCM KWASABABU YA SIASA UCHWARA ZA CCM(GUTTER POLITICS)! Aliweka wazi kabisa kuwa WALIOSABABISHA AAMUE KUONDOKA CCM ni NNAPE NAUYE na JOHN CHILIGATI ambao ni KATIBU MWENEZI NA NAIBU WAKE! Na juzi juzi tu CC ya CCM wamesema walikaaa kutathmini kujivua gamba na wakazungumzia kuhusu Uchaguzi mdogo wa Igunga ambapo WALIAMUA KWA KAULI MOJA KUWA NNAPE NAUYE na JOHN CHILIGATI WASIKANYAGE IGUNGA ASILAN WAKTI WA KAMPENI ILI WASIENDELEE KUIKOSESHA CCM USHINDI! NA HAPO HAPO Mwenyekiti wao KIWETE akasema kuwa wamtafute RA wampigie MAGOTI ILI AWASAIDIE KWENYE KAMPENI hatimaye waweze kurudisha jimbo hilo kwenye himaya yao!!!

Sasa basi kulingana na maelezo haya kwa vyovyote CCM hawataweza kushinda Igunga na hawastahili kupewa ushindi huo! CCM wamedhihirisha ni WAONGO,WANAFIKI NA WABABAISHAJI. Huwezi kumtuhumu Mbunge wa eneo husika kupitia chama chako kuwa ni FISADI ilhali huna uthibitisho na ukamlazimisha ajiuzulu au aachie ngazi! Haiwezekani hata kidogo. CCM hapa wamechemka.

Kwa hiyo kwa heshima na taadhima nawaomba wana Igunga wote kuiadhibu CCM kwa kuinyima kura ili iwe fundisho! Hii itabitisha kuwa kweli wana Igunga walikuwa na Mbunge waliyempenda kama walivyoonyesha SIMANZI NA VILIO wakati ROSTAM akijiuzulu. Nawasihi wana Igunga wote KURA ZENU ziende kwa CHADEMA, chama makini kinachoongozwa na viongozi makini ambao wako tayari kutetea maslahi ya kila Mtanzania wakiwemo wana Igunga.

Iwapo wana Igunga watapigia kura CCM ili kuirudisha madarakani basi Watanzania wote tutajua kuwa VILE VILIO NA KUZIMIA HAVIKUWA NA UKWELI WOWOTE baali ilikuwa ni maigizo na usanii.
 
Nilishasema hadi tuje tukon'gontane ndiyo tutaheshimiana. CCM bado wanajifanya wao ndiyo Tanzania na Tanzania haiwezi kuwa Tanzania bila wao. Sasa cha msingi ni kuwasha moto Ingunga tuone nani atabaki salama.
Wananchi walishalichoka HILI LI chama limeezeeka, lakini wao bado wanan'gangania tu kutuongoza kwa nguvu na hujuma za miaka 47 - HATUWATAKI ONDOKENI na magamba yenu.
 
Mkae mkijua kuwa kama mtaleta ile tabia yenu ya fujo basi lazima mle shaba.

Omr! We Mtanzania kweli? Hapo unaona na unaamini kabisa kuwa Wapinzani na hasa CDM ni watu wa fujo siku zote. Naomba tuwe wakweli kwa haya yanayoelezwa kufanya huko Igunga ni haki au Serikali ndiyo inaandaa mazingira ya kuchochea fujo?????????????????

My appeal kwa viongozi walioko madaraki ni kuwaomba radhi kwamba watuachie wananchi tuamue kwa ridhaa zetu kwenye chaguzi za kisiasa la sivyo tunelekea kusiko takiwa - kisa tamaa ya kutawala milele. Eeee MUNGU naomba utusaidie sisi Wajawako Watanzania.
 
Hivi police wanalipwa mshahara kiasi gani mpaka waamue kujitoa muhanga kiasi hicho?wanamtetea na kumlinda mnyonyaji ambaye anawanyonya mpaka damu, Je kwa maana hiyo tukisema police wana IQ ndogo tutakuwa tunakosea? Mambo mengine hayahitaji nguvu ni akili tu na busara.
 
Tukumbushane ya 2010.

Kule Hai kwa Mbowe, mkurugenzi/ msimamizi wa uchaguz alihamishwa ghafla. Arusha mjini naye alihamishwa dakika za mwisho. Did it help to save ccm? The answer is NO. So, Peoples' power has the last say, if well organized to the common purpose - better life for all Tanzanians not at Mikocheni and Masaki only.
 
Sasa naona kuna umuhimu wa jf kuongeza falsafa nyingine yaani badala ya ''the great thinkers'' liongezewe na ''the great fools'' kwa sababu humu ndani kumejaa vilaza wa kutosha sijui wametumwa na nani, haya ni mawazo yangu tu kwa sababu nimeshindwa kuchangia hata mada kwa sababu great fools wamechangia wengi sana kiasi kwamba hata nikichangia itaonekana najibizana na hawa great fools, but kwa wale great thinkers keep it up kwa michango yenu achananeni na hawa wanaotumia masabuli kuchangia hii post
 
Inasikitisha sana kuona vitendo vinavyoendelea kujitokeza ndani ya wilaya ya igunga, mkuu wa kituo cha polisi amehamishwa kwa kuruhusu opereshen sangara, meneja wa bank ya NMB amepewa uhamisho kwa kosa la kwenda kusikiliza mikutano ya CHADEMA, kubwa zaidi mkurugenz wa halmashauri ndugu Magayane naye kapewa barua ya uhamisho kwenda kusikojulikana kwa kosa la kuidhinisha barua ya ndugu Joseph Kashindye kwenda kugombea kwa tiketi ya CHADEMA ili hali anajua ataleta upinzani mkubwa kwa CCM.

Leo hii RPC wa mkoa wa Tabora naye kahamishia ofisi yake wilaya ya igunga kwenye lodge moja inayoitwa sophia lodge.

Sasa je tujiulize huko tunakokwenda kuna usalama kweli? Kiukweli mimi ni mkereketwa wa CCM lakini hili jimbo tunalipoteza kwa hali iliyopo sasa, mana kila kona cdm. Tusipokuwa makini damu ya watanzania wenzetu itamwagika mana FFU toka Tarime nasikia ndo watakaokuwepo kuhakikisha amani inakuwepo.

Nawasilisha

kazi ipo. Sie yetu macho.
 
Omr! We Mtanzania kweli? Hapo unaona na unaamini kabisa kuwa Wapinzani na hasa CDM ni watu wa fujo siku zote. Naomba tuwe wakweli kwa haya yanayoelezwa kufanya huko Igunga ni haki au Serikali ndiyo inaandaa mazingira ya kuchochea fujo?????????????????

My appeal kwa viongozi walioko madaraki ni kuwaomba radhi kwamba watuachie wananchi tuamue kwa ridhaa zetu kwenye chaguzi za kisiasa la sivyo tunelekea kusiko takiwa - kisa tamaa ya kutawala milele. Eeee MUNGU naomba utusaidie sisi Wajawako Watanzania.

Achana nae huyo....hata Gadaffi alikuwa na wapambe wengi mfano wa huyu Zuzu lakini leo hawaamini kilichotokea na wote wameingia mitini
 
Inasikitisha sana kuona vitendo vinavyoendelea kujitokeza ndani ya wilaya ya igunga, mkuu wa kituo cha polisi amehamishwa kwa kuruhusu opereshen sangara, meneja wa bank ya NMB amepewa uhamisho kwa kosa la kwenda kusikiliza mikutano ya CHADEMA, kubwa zaidi mkurugenz wa halmashauri ndugu Magayane naye kapewa barua ya uhamisho kwenda kusikojulikana kwa kosa la kuidhinisha barua ya ndugu Joseph Kashindye kwenda kugombea kwa tiketi ya CHADEMA ili hali anajua ataleta upinzani mkubwa kwa CCM.

Leo hii RPC wa mkoa wa Tabora naye kahamishia ofisi yake wilaya ya igunga kwenye lodge moja inayoitwa sophia lodge.

Sasa je tujiulize huko tunakokwenda kuna usalama kweli? Kiukweli mimi ni mkereketwa wa CCM lakini hili jimbo tunalipoteza kwa hali iliyopo sasa, mana kila kona cdm. Tusipokuwa makini damu ya watanzania wenzetu itamwagika mana FFU toka Tarime nasikia ndo watakaokuwepo kuhakikisha amani inakuwepo.

Nawasilisha

Mkuu mie binafsi nakujua wewe vizuri sana ila siwezi kuanika jina lako hapa. Ni kweli wewe ni ccm damu hadi kwenye pumzi na ubongo.
Hakika nimefurahi sana kuona maneno haya yanatoka kwa mtu kama wewe....kweli chama chako kimekukera sana!. Lakini kumbuka
siku moja nilikuambia kuwa ccm hii si ile ya mwal.nyerere bali ccm hii ni ya matapeli tu na walafi na hapo ilipo inachungulia kaburi...naku
mbuka ulinijengea hoja mzito sana yenye maneno matamu. Lakini Je, leo si umeamini mwenyewe? Mkuu hacha kupoteza mda huko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom