CCM na hali halisi mtaani..bei juu kila kitu

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
TATIZO NI MFUMO NDIYO MAANA MFUMUKO WA BEI KATIKA VYAKULA UMEISHINDA SERIKALI HIVYO WANANCHI KUENDELEA KUHUMIA KWA KUKABWA KOO NA WAFANYABIASHARA...NINAAMIN<wbr>I SERIKALI IKIWA NA MSIMAMO UTAMADUNI WA KUWADUMAZA WANANCHI KWA BEI FEKI ZA BIDHAA MUHIMU UTAKOMA, LAKINI ULEGEVU WA WATENDAJI UKIENDELEA WANANCHI WATAENDELEA KUUMIA KILA SIKU, BORA TU TUINGIZE KAKIPENGELE KADOGO KWA AJILI YA KUKOMESHA HII TABIA KATIKA KATIBA MPYA----TUTAFAKARI!

556509_202964623163691_1215958753_n.jpg
 
Ni upepo tuu utapita!

Quote from "Teachers' manufacturer".

Mkuu nasikia hata Doctors Manufacturing inakuja, If you have any business, come and see me my door is always open.

Ikulu yetu imegeuzwa sehemu ya kupigia deals za biashara na Vasco Da Gama a.k.a The Explorer
 
Back
Top Bottom