Jana kwenye kampeni mwananchi anamuuliza kafumu mbona unayoahidi yashaahidiwa na watangulizi wako wa chama chako na hawakutekeleza na wewe utayatekelza vp?lilikuwa swali gumu sana na alibaki mdomo wazi!ccm msidanganye wanachi kimsingi tumechoka na hadith zenu,mnahangaika na nini sasa si muondoke? Miaka yote hii bado tupo gizani kweli??