Elections 2010 Ccm na barabara zetu....

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
nduzu zanguni kwani watanzania wote ni ccm?ukipitita barabara ya sam nujoma utakuta watu wanaweka bango katikati ya barabara,mi nauliza hizo sehemu kweli ni kwaajili ya mabango au ndio ccm mabavo, na je nani amewapa kibali....aaaah kumbe ccm ni chama tawala inajiamulia mambo tu....nqa isitoshe wanatumia pesa haswa... Hata chadema wakiambiwa waweke hizo pesa waqtakuwanazo kweli...mimi sioni sababu ya kuweka bango katikati ya barabara ...hii inaonyesha maamuzi ya viongozi wengi wa ccm hawana busara......tuliangalie hili kwa kina.
 
Mkuu hawa ni mashetani........tuwaonyeshe tarhe 31 Oct.

Sio hapo tu, pale salenda wanaweka bango la kufa mtu, hairuhusiwi. na jamaa wanapiga kazi usiku, na hawaongei na mtu yeyote..wapo kama mabubu, hata polisi wenyewe wa salenda wameuliza, jamaa hawajibu, wanachapa kazi tuu!
 
Back
Top Bottom