CCM mwisho wake ni 2015 ..mwenye macho aone

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
Lowasa anaonekana wazi kabisa kuwa na nguvu ndani ya ccm. Na ccm lazima watamuweka kama mgombea urais hapo 2015, Chadema nchi ni yenu tayari na njia ipo wazi barabara ni nyeupe pee. Mlichomfanya Lowasa kule Arumeru ndicho mnachotakiwa kumfanya hapo 2015. Mnachotakiwa kufanya sasa hivi ni kukijenga chama na kuondoa mfarakano na kuboresha demokrasia ndani ya chama bila kuangalia ukanda, dini wala majina. Kila mtu ana haki ya kugombea cheo chochote ndani ya chadema, so kinachotakiwa ni nyie kushikamana na atakayeshindwa asiwe na kinyongo asimame na kuwapa support wenzake na kukiboresha chama hadi kuchukua nchi.
Lowasa akisimama urais ni kama vile mmepewa penalti mpige halafu golikipa keshasepa hayupo golini.. Kuanzia sasa hivi hadi mwaka 2015 mnatakiwa kuipiga hio penalti kwa ufundi ila wasi wasi wangu ni mpigaji(chadema)kupaisha mpira na kukosa goli ambalo ni la ushindi. Ushindi ambao watanzania(wengi) tunausubiria kwa hamu.
Na mkiikosa hio penalt mjue ndio mmeshakizika chama
 
You are in for a surprise mark my words. This chama has the ability to retransform itself in to something that more that 50% of the lectorate will find it more appealing than any other chama. [nakuomba uhifadhi maneno haya]
 
Definetly nayachukua maneno yako mkuu na kuyahifadhi
 
Lowasa anaonekana wazi kabisa kuwa na nguvu ndani ya ccm. Na ccm lazima watamuweka kama mgombea urais hapo 2015, Chadema nchi ni yenu tayari na njia ipo wazi barabara ni nyeupe pee. Mlichomfanya Lowasa kule Arumeru ndicho mnachotakiwa kumfanya hapo 2015. Mnachotakiwa kufanya sasa hivi ni kukijenga chama na kuondoa mfarakano na kuboresha demokrasia ndani ya chama bila kuangalia ukanda, dini wala majina. Kila mtu ana haki ya kugombea cheo chochote ndani ya chadema, so kinachotakiwa ni nyie kushikamana na atakayeshindwa asiwe na kinyongo asimame na kuwapa support wenzake na kukiboresha chama hadi kuchukua nchi.
Lowasa akisimama urais ni kama vile mmepewa penalti mpige halafu golikipa keshasepa hayupo golini.. Kuanzia sasa hivi hadi mwaka 2015 mnatakiwa kuipiga hio penalti kwa ufundi ila wasi wasi wangu ni mpigaji(chadema)kupaisha mpira na kukosa goli ambalo ni la ushindi. Ushindi ambao watanzania(wengi) tunausubiria kwa hamu.
Na mkiikosa hio penalt mjue ndio mmeshakizika chama

Mkuu ninaelewa unachotaka tujue but kumbuka c.c.m ni chama cha siasa,kina system yake kipnd cha nyuma wkat kinaitwa tanu kilichokwa ndo ikabidi wajitathmini ndo wakaja na c.c.m...simjui lowassa vizuri ila leo nlikua naongea na political analyst mmoja ambae huwa mpk amkubali mtu ni kazi kaniambia lowassa is not a merely a man himself rather lowassa ni taasisi lbs
 
yaani haiwezekani tuwetuna endeshwa kwa matakwa ya viongozi. lowassa, GAIDI LA UFISADI alikuwa anatakiwa apewe ban kugombania cheo na cha ajabu kazi yenyewe nikutoa maneno matamu, rushwa na kubishana LAKINI MADAKTARI ambao sio kwamba walipata kisomo kwa ushirikina na sio kwamba wanatumia siasa kuokoa maisha ya watu, walidharirishwa kama vile mtoto yatima. PUMBAF CCM, damn with their lowassa!!
 
Back
Top Bottom