CCM Mwanza yaandaa Maandamano ya Amani Mwanza

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
Akiongea leo mchana na waandishi wa Habari amesema maandamano hayo ni kupinga mgomo wa Madaktari unaoendelea ambapo maandamano yatafanyika kesho saa 9.

Je, chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA nacho kitaandaa Maandamano kuunga Mkono mgomo wa Madaktari? Tusubiri tuone.

Chanzo: Taarifa ya Habari Star Tv
 
Biased hivi nani anaunga mkono madaktari kama lazima waitake SERIKALI kuwalipa madai wanaostahuili
 
Hawa janjaweed wanaandamna kwa amani ipi wakati polisi wanatembea na kolea za kung'olea watu meno? Wanaandamani kwa amani gani wakati wabunge wanakatwa mapanga na hakuna yoyote aliyekamatwa?
 
Wamepata pa kupumulia siyo? Ha ha ha ha ha kweli chama mfu. Wazee wa matukio; wanasubiria tukio ili wapate uelekeo.

CHADEMA neither face East nor West, they face FORWARD. M4C forever.
 
Mkuu wa kaya alidanganywa. mgomo ni kwa manufaa ya walala hoi ambao hawana uwezo wa kufuata vifaa tiba nje ya nchi. Shinikizo la mgomo ni kuitaka serikali inayoitwa sikivu, isaidie walala hoi kwa kusogeza vifaa tiba kwa wananchi. Tunazo Wilaya nyingi ambazo hazina hata x-ray, achilia mbali utra-sound, nchi nzima haina T-scan. Hivi, wanao pinga madaktari kuishinikiza serikali kuboresha mazingira ya kazi ni watanzania????????
 
CCM Chama Cha wauaji, wezi Tanzania. Hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho. Yesu alikuja lakini alifikia mwisho. Sasa si muandamane inchi nzima, kwa nini Mwanza tu?? I am sure madai ya Madakitari ni kwa ajiri ya manufaa ya wasiokuwa nacho Tanzania na Mungu ameamua kutusaidia kupitia Madakitari, na watakao kufa ni kwa niaba ya wanyonge na masikini wote wasioweza kwenda Agakhan, Ocean Road, nk.

Serikari nakuchukuia sana
 
Mwanza kuna wajinga kumbe bado!! Hsya dala dala zina kazi kesho somba walala hoi
 
hebu tupeni data huko mwanza kweli wameandamna au wamesomba watu kwenye malori ili waandamane
 
Maandamano yanasaidia nini kama hakuna nia ya kukaa mezani na kuzungumza kiutu uzima? Udaktari sio cheo kama u DC au RC. Huwezi kumfuta mtu udaktari maana ni kitu kinachotolewa baada ya kuwa qualified
 
Mwanza kuna wajinga kumbe bado!! Hsya dala dala zina kazi kesho somba walala hoi
hawa hawa ambao wanakula mlo mmoja kwa siku, watoto wao wanasoma kayumba primary, wakimaliza wanarudi nyumbani kugawana umaskini na wazazi wao, ndiyo hawa hawa wanaotumiwa na ccm kufanikisha azma yao, ni kweli inatia uchungu sana.

Hili kundi linatumiwa vibaya sana bila kujijua - anyway let it be ukombozi wa kundi hili ni karne ijayo i think.
 
Hili suala si lipo mahakamani? Au kwa kuwa anakunya kuku angekuwa bata angeambiwa anaharisha? Wakiandamana itadhihirisha UDHAIFU WA MAHAKAMA NA SERIKALI YAKE
 
Kesi ipo mahakamani,je imeshatoka huko Mahakamani?Maana sijui kiswaahili nimekiweka sawa.
 
Tunapoibiwa rasilimali zetu hawaandamani lakini watu wanapodai haki zao wanawapinga.

Anayeongoza akili za wana CCM ana akili sana.

Watu kama dagaa wanaopelekwa sokoni .
 
Tunapoibiwa rasilimali zetu hawaandamani lakini watu wanapodai haki zao wanawapinga.

Anayeongoza akili za wana CCM ana akili sana.

Watu kama dagaa wanaopelekwa sokoni .
hao ndo walo andamana kukanusha kula mifupa ya sangara maarufu kama mapanki baada ya darwin's nightmare, akili ya mwana ccm hufanya kazi kinyume!
 
Mungu atawapiga kofi miongoni mwao watapata shida katika maandamano yao zitakazo hitaji huduma za wataalamu wa Afya cjui watakimbilia wapi hawa Magamba!
 
Akiongea leo mchana na waandishi wa Habari amesema maandamano hayo ni kupinga mgomo wa Madaktari unaoendelea ambapo maandamano yatafanyika kesho saa 9.

Je, chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA nacho kitaandaa Maandamano kuunga Mkono mgomo wa Madaktari? Tusubiri tuone.

Chanzo: Taarifa ya Habari Star Tv

Ni marufuku tena marufuku iliyo kubwa kwa Chadema kuandamana, habari za kiintelijensia zinaonyesha uwezekano wa Al shabab kushambulia Mwanza iwapo wataandamana. Kuh maandamano ya CCM polisi hawana taarifa nayo!
 
Akiongea leo mchana na waandishi wa Habari amesema maandamano hayo ni kupinga mgomo wa Madaktari unaoendelea ambapo maandamano yatafanyika kesho saa 9.

Je, chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA nacho kitaandaa Maandamano kuunga Mkono mgomo wa Madaktari? Tusubiri tuone.

Chanzo: Taarifa ya Habari Star Tv

Serikali ya ccm haiishiwi na viroja .
 
Kutakuwa na wasanii wakutumbuiza pia wali maharage yatakuwepo kwaajili ya waandamanaji!

Mafuso yapo tayari!
 
Back
Top Bottom